Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini huwa tunasema tusichanganye siasa na dini au serikali haina dini? Na wakati mwengine tunasema chama fulani(cha siasa) kina udini?Dini ni utaratibu au kanuni za maisha ajiwekeazo mtu au kikundi cha watu na kuzifuata kitamaduni
yaani ni kama katiba ya inchi na wananchi
Dini zinasimamia kile kinachoaminiwa na walioiunda kwa usahihi wao na mtazamo wao
Kwa kifupi ndio hivyo Mkuu
Wewe hapa unatoa maneno matupu hutoi maandiko ndio maana nikakuuliza hivyo,lakini pia ni Maandiko gani hayahaya wanayofundisho viongozi wa dini ndio nikayasome?Soma maandiko usisikilize watu
Wewe hapa unatoa maneno matupu hutoi maandiko ndio maana nikakuuliza hivyo,lakini pia ni Maandiko gani hayahaya wanayofundisho viongozi wa dini ndio nikayasome?
Ukifanya kitu ukajiskia vibaya ni subconscious mind yako imeshikilia kuwa kitu hichi ni kibaya kutokana na kuambiwa au kusikia kufanya hivi siyo vizuri na ukitaka kujua hili kuna mfano mzuri tuMungu wa kweli hakuna atakayekuelekeza kwakwe. Mungu wa kweli yupo moyoni mwako.Huyo ambaye ukifanya jambo baya unajisikia vibaya msikilize huyo huyo. Tumia akili kwani Mungu ndio hutumia akili yako kujidhihirisha katika maisha yako na si akili ya mtu mwingine. Ikitokea hatari kubwa itakatayo kuhusu wewe peke yako ndipo utamjua Mungu wa kweli.
Ukifanya kitu ukajiskia vibaya ni subconscious mind yako imeshikilia kuwa kitu hichi ni kibaya kutokana na kuambiwa au kusikia kufanya hivi siyo vizuri na ukitaka kujua hili kuna mfano mzuri tu
Mtoto mdogo hufanya kitu bila kujua ni kizuri au kibaya
Namjuaje sasa mkuu kinyume na hisia hapo? Hebu niambie nitumie nini kwa mfano?Tumia kila ulichonacho kumjua Mungu si hisia tuu
myama gani huyo nataka kumjuaUshasema mtoto mdogo. Hata mnyama akitenda kosa anajua, au hili hulijui
Sasa kama ni hayohayo basi huko ndiko viongozi wa dini wanatoa mafundisho ambayo wewe unayapinga.Hayo hayo, au hujasoma sehemu inasema kuwa kuhani hulia madhabahuni na si Mungu
wanakuwa trained mkuu kamchukuwe mbwa koko mitaa ya tandale alafu useme anajua sheria in short kajitrain kulingana na mazingira aliyopo, watu anaokutana nao na hali ya upatikanaji wa chakulaHujawahi hata kufuga paka, mbwa na wanyama wengi wenye kucha. Kama nyani. Tofauti na wenye kwato
Sasa ndugu kama Mungu anashindwa kufanya kazi yake inabidi amtume nyoka anakuaje shetani wakati ni msaada huo kwa Mungu ?
HawajaWamekukosea nini watumishi wa mungu mbona unaonekana kama una chuki nao.