Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikufundishe kwa mifano, Yesu alipenda kutumia mifano:
Ni hivi, mavi ya ng'ombe yanaitwa kinyesi cha ng'ombe, lakini ukutumia hicho hicho kinyesi shambani hapo kinabadilika jina kinaitwa mbolea--- ndivyo hivyo Mungu anapotenda kazi yake, anaweza kumtumia shetani aende kuwaangamiza shetani wenzake.
Nilikupa mfano, A. Hitler ni shetani aliyetumika kuwapiga waisrael mashetani/waasi na jeuri (hadi leo si unawaona waisrael wanavyo wapiga Palestinians ) na kuwanyang'anya ardhi yao.
Hawaja
Mkosea kitu isipokuwa anatakiwa wawe wakweli katika kuona sadaka. Kila kitu Amesema watu kuwa wasimsingizie mungu kuwa yeye anataka warusi wake watoe sadaka. Wanachotakiwa ni kusema ukweli kuwa wanahitaji sawa na kwa Service wanayo toa. It is clear.
Na kama wao ni watoa huduma za kiroho hatuna budi sisi watoa huduma nyingine kuwaogopa wao. Wao ni nani mpaka wakawa wanatakiwa kuogopwa? Service ni Service tu iwe ya kiroho au ya matibabu.
Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kati ya dini na siasa(utawala)Sasa kwanini huwa tunasema tusichanganye siasa na dini au serikali haina dini?
Ni rahisi kwa vyama vya siasa kutafuta uvutano wa namna hiyoNa wakati mwengine tunasema chama fulani(cha siasa) kina udini?
Kipi sio kweli? Hebu leta vielelezo basi ili tujue ni kipi sio cha kweli kimetungwa tu na viongozi wa dini.Sio kweli Mkuu.
AnijicontradictNdio maana nikasema Nyoka ni kiumbe wa Mungu, hayo mengine ya shetani ni fasihi tuu
Bado sijakupata kabisa mkuu.Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kati ya dini na siasa(utawala)
Dini=Siasa(utawala)
Mungu=Raisi
Kitabu kitakatifu=katiba
waumini=wananchi
Mahubiri=kunadi sera
katika hali kama hii na nyengine nyingi yenye ufanano si ajabu vitu hivi vikaingiliana kwa kuwa vyote vinadai aina fulani ya control
Ni rahisi kwa vyama vya siasa kutafuta uvutano wa namna hiyo
Mifumo yetu ya utawala imetoka na miundo mama ya kidini hivyo usishangae muingiliano
Na kwa kuwa upande wa dini unanguvu ya wajitoa wakubwa na usikivu mwingi si ajabu joker yeyote wa siasa kuwatumia
NB: ni maoni yangu
Sasa tunaangalia mafundisho au tunaangalia maisha tu ya Yesu?Swali la kizushi nikuulize, je Yesu aliwahi kutoa sadaka au zaka?
Mafundisho unayoyajua wewe leo kuhusu Mungu yalikuwa yakifundishwa na watu(mitume) ambao walikuwa na wafuasi na hao wafuasi walieneza hayo mafundisho.Mimi ni mfuasi wa Mungu na si mfuasi wa Mtu
Ndio maana nikauliza kama tunafuata mafundisho yake au maisha yake tu? Maana maisha ya Yesu ni kwamba hakuoa.Yesu si ndiye alikuwa anatoa mafundisho, si ndio?
hii style ya kutafsiri mistari ya biblia huwa inaniacha hoi
Ndio maana nikauliza kama tunafuata mafundisho yake au maisha yake tu? Maana maisha ya Yesu ni kwamba hakuoa.
Mkuu, naomba utoe tafsiri sanifu ya haya maneno:-
"And the lord sent fiery serpents among the people , and they bit the people ,and much people died"