Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema Nyoka ni kiumbe wa Mungu, hayo mengine ya shetani ni fasihi tuu
Kumbe mussa alikua anatembea na shetani(fimbo/nyoka) kipindi chote cha unabii wakeKwa Muktadha wa "maandiko matakatifu" nyoka mkubwa au (Joka) maana yake ni "shetani", na shetani maana yake mtu au kitu kiovu, kibaya nk.
Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.Mkuu kwa nini?
Ni sawa nyoka ni kiumbe na anayo faida yake katika "ecosystem", ninachosema mimi ni nyoka katika muktadha wa maneno ya mungu "in spiritual realm". Isipokuwa neno nyoka per se bila "suffix" au "prefix" mfano "nyoka wa SHABA"- hapo halina maana ya "nyoka shetani".
Turudi kwenye mada sasa. Je wadhani kuna mwanadamu mwenye uspesho kwa Mungu
Mkuu mfano wako hauna uhalisia , Mungu anapomtuma shetani kuua , kosa linakuwa sio la shetani tena bali ni la Mungu aliemtuma , vip alaumiwe shetani wakati ameagizwa na Muumba wa mbingu na nchi?Ngoja nikufundishe kwa mifano, Yesu alipenda kutumia mifano:
Ni hivi, mavi ya ng'ombe yanaitwa kinyesi cha ng'ombe, lakini ukutumia hicho hicho kinyesi shambani hapo kinabadilika jina kinaitwa mbolea--- ndivyo hivyo Mungu anapotenda kazi yake, anaweza kumtumia shetani aende kuwaangamiza shetani wenzake.
Nilikupa mfano, A. Hitler ni shetani aliyetumika kuwapiga waisrael mashetani/waasi na jeuri (hadi leo si unawaona waisrael wanavyo wapiga Palestinians ) na kuwanyang'anya ardhi yao.
Mkuu mfano wako hauna uhalisia , Mungu anapomtuma shetani kuua , kosa linakuwa sio la shetani tena bali ni la Mungu aliemtuma , vip alaumiwe shetani wakati ameagizwa na Muumba wa mbingu na nchi?
Mkuu embu acha hizo. Shati=shirt. Trekta=Tractor
Ni sawa nyoka ni kiumbe na anayo faida yake katika "ecosystem", ninachosema mimi ni nyoka katika muktadha wa maneno ya mungu "in spiritual realm". Isipokuwa neno nyoka per se bila "suffix" au "prefix" mfano "nyoka wa SHABA"- hapo halina maana ya "nyoka shetani".
Tena hiyo nayo ni nyingine inayoonesha huyo mungu anijicontradict
kauwa watu kwa kutengeneza sanamu ya ndama kama uovu baada ya musa kuyeya milimani
Halafu baadae katengeneza sanamu ya nyoka kama wokovu akamtuma huyohuyo musa aliwanywesha wenzake uji wa dhahabu [emoji1][emoji1][emoji1]
Vitabu vingine ili kuvielewa ni lazima ujipunguze ufahamu
Una safari ndefu kweliKuvielewa lazima upunguze ufahamu?!!, sasa huvielewi ukiwa na huo "ufahamu" ulionao, vipi sasa utaelewa nini ikiwa huo ufahamu utapungua??!!, nadhani wewe upo usingizini kwani maneno hayo hawezi kuongea mtu aliye "SOBER".
Kuna aina mbili ya maneno ya Mungu, kuna yale yenye maana ya moja kwa moja na yale yanayohitaji tafsiri (ufafanuzi), hayo uliyanukuu yanahitaji ufafanuzi, mfano ukisoma Injili kuna mahali Yesu alijiita MKATE, na pengine alijiita MZABIBU nk, wewe kwa akili yako utasema Yesu alikuwa Mkate huu wa kunywea chai?!![emoji16][emoji16][emoji16]
Haya lete vielelezo kukazia hoja yako.Tunafuata Mafundisho na maisha yake, yeye mwenyewe anasema tujifunze kutoka kwake.
Hata hivyo Yesu na manabii wengine wote walikuja kufafanua sheria za Musa
Usikute jamaa kashalizwa fedha zake na manabii wa kileoWamekukosea nini watumishi wa mungu mbona unaonekana kama una chuki nao.
Una safari ndefu kweli
yesu alikuwa anato mahubiri na haikuwa ngumu kwa waliomzunguka kujua kuwa huyu mtu anaongea kitamathali
Musa kaamriwa na Mungu wako asimike sanamu ya nyoka wa shaba sio mahubiri hayo... unaelewa?
Yeye aliyekataza ndiye anayefundisha tena kiyaamini huu ni zaidi ya uhuni
Hivi hakuwa na njia nyengine ya kuponya hao viumbe bila ya kutumia hiyo aliyoitumia.?