Mungu wa kweli hahitaji haya tunayoaminishwa

Mungu wa kweli hahitaji haya tunayoaminishwa

Wewe ndiye uliyeandika neno "spesho" na mimi nikadhani ni hili neno "special". Wewe ndiye unayetakiwa kuandika maneno halisi ya kiingereza badala ya kuandika "kiswanglish".

Nilikuwa najaribu kukueleza kuwa kuandika hivyo hakuharibu mantiki ya mada ikiwa kirejelewa ni kile kile.
 
Basi viongozi wapunguze michango. Kuna mchango wa ujenzi, kila Jumapili upo,lakini hakuna ujenzi unao endelea. Fungu la kumi kila wiki bahasha lazima ijazwe hela, siku ya kilele bado unaambiwa utoe fungu la kumi maana huko nyuma ulikuwa unatoa kwa kujibana bana. Na vitisho vya vifungu juu .... aaaghh!!!
Unafikiri watu wanatoa nyingi, mule utakuta elf1, 2, 3
 
Ni jukumu lake kunifundisha hayo lakini si jukumu lake kumsingizia Mungu kama anashida ya zaka na sadaka wakati sio kweli. By way maisha ni kutegemeana kwa kusudi la Mungu. Kila mtu ni kusudi la Mungu na kwa Mungu hakuna kusudi kubwa na dogo
Haya sawa, wavumilie tu ukiwa nacho toa kama kinakukwaza usitoe kaa kimya mkuu
 
Hapana mkuu, kama hospitali ikitoa huduma mbovu watu lazima waseme, shule, bunge, mahakama nakadhalika. Kwa nini kwao tukae kimya?
Sadaka hailazimishwi wala zaka hawezi kuja nyumbani kwako katika mfuko wee muache
aongee tu basi kaa kimya tu mkuu usikwazike, huwezi iona pepo mpaka ufe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀😀😀😀😀😀
Sasa utaendaje kanisani bila kutoa zaka na sadaka huo si ujuha. Yaani ukienda kilabuni ulipie pombe, shule ulipie ada, kwenye usafiri ulipe nauli alafu kanisani useme sio lazima huo ndio ujuha wenyewe watu wasioujua. Tatizo kanisani hawasemi ukweli wangesema tu kwamba kama huna sadaka au zaka usije kanisani
 
naona watu wanavyokazana kumjaza sifa na mambo Mungu yasiyo mhusu hata!
 
Hujaeleza vizuri jinsi ya kumjua huyu Mungu wa Kweli unayemtaja.
Je anaongea tokea angani au wapi?
Sielewi unavyosema huyo Yesu unayemheshimu wasifu wake ni nini na anatofauti gani na manabii au mitume wengine.
Sijui hilo kanisa au viongozi wake waliokuambia Mungu wamempelekea Zaka au Sadaka anazihitaji kwa maana kuwa walizipemeka hizo Shilingi au Kuku au Karanga kwamba akazitumie
Unayo nafasi kufafanua hilo
 
Mungu unamjua automatic tuu bila kuambiwa na mtu. Kama watu wasingeletewa dini bado wangejua Mungu yupo.

Nimemtaja Yesu kwa Muktadha wa wakristo(Nikiwa miongoni mwao na najivunia kuwa miongoni mwa wakristo ambao ni watu bora katika zama hizi)

Huko kanisani kwenu wanatumia mbinu gani kupata sadaka hasa katika uhamasishaji?
 
Back
Top Bottom