Wewe ndiye uliyeandika neno "spesho" na mimi nikadhani ni hili neno "special". Wewe ndiye unayetakiwa kuandika maneno halisi ya kiingereza badala ya kuandika "kiswanglish".
Unafikiri watu wanatoa nyingi, mule utakuta elf1, 2, 3Basi viongozi wapunguze michango. Kuna mchango wa ujenzi, kila Jumapili upo,lakini hakuna ujenzi unao endelea. Fungu la kumi kila wiki bahasha lazima ijazwe hela, siku ya kilele bado unaambiwa utoe fungu la kumi maana huko nyuma ulikuwa unatoa kwa kujibana bana. Na vitisho vya vifungu juu .... aaaghh!!!
Kwahiyo wewe una akili kama za swala na tembo?Kwani wale swala kule serengeti au na tembo wa pale mikumi wamefundishwa na nani kuwapenda jirani yao ..!?
Haya sawa, wavumilie tu ukiwa nacho toa kama kinakukwaza usitoe kaa kimya mkuuNi jukumu lake kunifundisha hayo lakini si jukumu lake kumsingizia Mungu kama anashida ya zaka na sadaka wakati sio kweli. By way maisha ni kutegemeana kwa kusudi la Mungu. Kila mtu ni kusudi la Mungu na kwa Mungu hakuna kusudi kubwa na dogo
Sadaka hailazimishwi wala zaka hawezi kuja nyumbani kwako katika mfuko wee muacheHapana mkuu, kama hospitali ikitoa huduma mbovu watu lazima waseme, shule, bunge, mahakama nakadhalika. Kwa nini kwao tukae kimya?
Sadaka hailazimishwi wala zaka hawezi kuja nyumbani kwako katika mfuko wee muache
aongee tu basi kaa kimya tu mkuu usikwazike, huwezi iona pepo mpaka ufe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mungu anahitaji hayo mambo kwa sababu hayupo!Mungu tunaeaminishwa kuwa ana upendo wote,huruma yote na ni mweza wa yote angekuwepo asingehitaji huo uchafu!Kuhadhitiana kuwa mungu anahitaji vitu hivyo ambavyo ni non-sense ni uthibitisho kuwa mungu huyo hayupo!!
Matunda ya kiranga
[emoji16][emoji16][emoji16]Matunda ya kiranga
Hujaeleza vizuri jinsi ya kumjua huyu Mungu wa Kweli unayemtaja.
Je anaongea tokea angani au wapi?
Sielewi unavyosema huyo Yesu unayemheshimu wasifu wake ni nini na anatofauti gani na manabii au mitume wengine.
Sijui hilo kanisa au viongozi wake waliokuambia Mungu wamempelekea Zaka au Sadaka anazihitaji kwa maana kuwa walizipemeka hizo Shilingi au Kuku au Karanga kwamba akazitumie
Unayo nafasi kufafanua hilo
ni upuuzi uliokithiri humuHii tabia siipendi
hahahaha kweli kabisaYaani ni sawa na wale waalimu wakifundisha wanajifanya wanajua kila kitu hata ukianza kuuliza maswali anaanza kukuwekea visa