Mungu wa kweli hahitaji haya tunayoaminishwa

Uliposema Kiongoz wa dini hastahili heshima anayojipa... kwasababu yeye anahudumia watu kama mtu mwengine nimekuunga mkono lakini uliposema mzazi hastahili heshima nimeogopa sana tena naweza kusema umewasilisha vizuri sana hoja zako lakini hapo padogo pameondoa ladha yote...
 
Hakuna sehemu nliyosema mzazi hastahili heshima mkuu
 
Mkuu naomba u-quote huo mstari
Mungu. Nikisiaga hivi huwa nacheka sana. Mtu hupata laana kwa kuacha sheria za Mungu na si maneno ya Mchungaji au mzazi. Kwa ujumla ni kuwa mtu hujilaani yeye mwenyewe ikiwa ataacha sheria za Mungu.
 
Mungu. Nikisiaga hivi huwa nacheka sana. Mtu hupata laana kwa kuacha sheria za Mungu na si maneno ya Mchungaji au mzazi. Kwa ujumla ni kuwa mtu hujilaani yeye mwenyewe ikiwa ataacha sheria za Mungu.

Sasa hapo ni kwa namna gani nimesema wazazi wasiheshimiwe?
Hakuna laana itakayompata mwanadamu isipokuwa kuvunja sheria za Mungu. Hata hao wazazi hawawezi kutoa laana yoyote ikashika kama hukuvunja amri za Mungu
 
Jitafakari kabla hujaongea chochote
 
Mkuu nimejaribu kushusha kwa speed bandiko lako nione umetumia mistari ipi ya maandiko kuthibitisha hoja zako lakini kumbe andiko lote liko chapwa!!
Huyo mungu unaemjua wewe pengine kweli haihitaji sadaka lakini si Mungu tunayemuabudu sisi kupitia Maandiko matakatifu katika Biblia. Humo ni sehemu moja tu ameruhusu tumjaribu "Hebu nijaribu kwa zaka na matoleo muone kama sijawafungulia madirisha ya mbinguni"
 
Kwa uthibitisho huo kweli wewe ni kichwa hamna.
 
Sawa bhasi acha mimi nimheshimu mzazi wangu... we fuata mtazamo wako... kweli hii Jamiiforums

Mkuu mbona unanipakazia maneno. Wapi nimesema watu washeshimu wazazi?
 
Hakika Mungu wa kweli ni huyu anaeombwa hivi "Muumba wa vyote (sio Mungu baba mwenye utatu mtakatifu ) kaa mbele yangu , sitamtendea binadamu kitu ambacho sitaki kutendewa " hahitaji chochote kwako kwani vyote ni vyake .
 
umeongea hoja kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…