chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Kwani Nini kilitokea Kati ya mange na nabii!!?ugomvi wao ni Nini hasa!!?tujuzeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe! Nilikuwa najaribu kuilinda iman
kama mohad alirogwa watakuelewa ukimtaja YesuKumbe! Nilikuwa najaribu kuilinda imani
Huyu LIKUD ni miyeyusho sana, imagine Mange atake kumlipua Mwamposa, then afe mtu baki kama pigo kutoka juu badala ya Mange mwenyewe kufa ili kudhihirisha kwamba Mange alitaka kumkosea mtumishi Mwamposa. Binafsi sina Imani kabsaaaa na huyu Mwamposa.Duh aiseee
Mungu wetu aui kwa kuogopa mtumishi wake kuumbuliwa.. Mitume wa zaman waliuawa na Mungu akuzuia kwasababu ni Mungu mwenye utaratibu..Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Akipost nitagMsiba ukiisha atapost. Hivyo bomu la Mwamposa lipo pale pale. Labda Mange mwenyewe afe.
Hivi mpaka sasa hivi nange kashamlipua mwamposa?Msiba ukiisha atapost. Hivyo bomu la Mwamposa lipo pale pale. Labda Mange mwenyewe afe.
Bomu lilikuwa Mwamposa kazaa na mademu wawili ambao si wake zake. Yaani Mwamposa anapiga mechi za nje ya ndoa.Hivi mpaka sasa hivi nange kashamlipua mwamposa?
Ukipost na picha za babies mama wake itapendeza zaidi[emoji6]Bomu lilikuwa Mwamposa kazaa na mademu wawili ambao si wake zake. Yaani Mwamposa anapiga mechi za nje ya ndoa.
Kumbe hilo tu? Sasa mtumishi kazi yake si kuhudumia kondoo wa bwana kwa maneno, kwa vitendo na kutimiza wajibu😃😃Bomu lilikuwa Mwamposa kazaa na mademu wawili ambao si wake zake. Yaani Mwamposa anapiga mechi za nje ya ndoa.
Jamaa umenishangaza na kuniacha hoi, huo ujasiri sio poaSasa mama wa kambo wa mange amehusika na nini?
Huyu mungu wenu mbona jau sana, ana tabia za kike sana huyo mungu[emoji16][emoji16][emoji16]