Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

Mwandishi Yuko sawa.

Nabii wa kike yupo ameruhusiwa kwenye BIBLIA ila Si kuwa kiongozi wa watu wote,

Atakuwa Nabii na atatoa unabii wake Akiwa kama waumini wengine, kiongozi atamsikiza unabii na kutekeleza maagizo ya Mungu.

Vilevile, Mchungaji wa kike haruhusiwi,

Ila ikiwa huduma ni changa, na wanaume Bado hawana mwamko, Mungu anaweza kumteua mwanamke akawa Mchungaji Kwa muda Hadi hapo atakapotokea kiongozi Mchungaji Mwanaume Kisha atamkabidhi Mwanaume aendelee.

UKWELI wa maandiko unabaki pale pale kuwa,

Mwanamke hajapewa Ruhusa kuwa Mchungaji au kiongozi katika Kanisa au Nchi.

Amen
 
Kuna baadhi ya vitu ni kweli nakubaliana navyo kama hilo la mwanaume kuruhusu mkeo achukue wajibu wako kama kiongozi ni hatari sana itafika wakati familia inaweza palaganyika ingawa si wote, katika wengi hutokea hivyo.... Ila la mwanamke kuwa askofu, nabii au ntume nakubali, ila kuwa mchungaji (kasisi) nakataa maana mchungaji ama kasisi ni mtawala kwa ninavyo fahamu.. maana mchungaji ama kasisi anatachunga kondoo wa Mungu sasa utachungaje bila kuwa mtawala?

Mfano dhehebu ninalo sali tuna askofu yeye ndo kiongozi mkuu wa Jimbo, kuna viongozi wengine chini hadi inafika kwa makasisi wa parishi au parokia, hivyo viongozi wa juu wanachunga viongozi walio chini yao iwe kwa mujibu wa taratibu na kiroho pia, na viongozi wa parishi wanachunga waumini.... Waumini ni wengi kuliko hata viongozi wa Jimbo, na waumini kiroho ni watoto kwa kasisi au mchungaji wao parishi,, ili umuongoze mtoto lazima uwe na nidhamu kama mzazi, iwe mama au baba... Na ndiyo maana kwa Jimbo nililopo ilisumbua sana kuwaweka wanawake mikono kuwa makasisi isipokuwa walihudumu kama mashemasi,, lakini baadae wakapima wakaona wawe makasisi tu, ila sasa nadhani ndo ipo inajadiliwa kuona kama inafaa....

Kama huafiki leta hoja yako kwa rejea ya maandiko.....

Pia bwana mtibeli acha kiburi, kuna kipindi nilikutag kwenye Uzi wangu ukapita kwa speed ya train ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio kuelekea dodoma..... Sio vyema aiseh!
 
Mkuu nitag tenà. Kuna wakati hakuwa busy. Hasa nyakati hizi
 
Io unayoisema wewe sio injili ya Bwana Yesu.io ya mwanamke kuhubiri ni nyingine ya ibilisi

1 Timotheo 2:11-12
[11]Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Let the woman learn in silence with all subjection.
[12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in sile
Ni dini ya kiyahudi haitambui hiyo ila injili ya Yesu Kristo inatambua watu wote ni sawa katika kuhubiri injili

nce.
 
Tofautisha unabii na karama ya unabii. Ni vitu tofauti
Ha
 
Tofautisha karama ya unabii na nabii.
Unaongelea karama za unabii.
Nabii mkuu huja mmoja kwa wakati,ila karama zipo nyingi.
Mwanamke anaweza akawa anaota ama akaona ono lakini hawezi kwenda uweponi mwa Mungu kama nabii mkuu akapokea neno la Mungu
O
 
Kutoka 15:20
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.

Waamuzi 4:4
Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule.

2 Wafalme 22:14
Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili😉 wakasema naye.

Nehemia 6:14
Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, Tobia na Sanbalati sawasawa na hayo matendo yao, na yule nabii mke Noadia, na hao manabii waliosalia, waliotaka kuniogofya.

Isaya 8:3
Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha Bwana akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

Luka 2:36
Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake.

Vv
 
Kama unayo maana tofauti na ile iliyoandikwa kwenye Biblia basi bandiko lako halikupaswa kumtaja Mungu YEHOVA.

Vv
 
Tofautisha karama ya unabii na nabii.
Unaongelea karama za unabii.
Nabii mkuu huja mmoja kwa wakati,ila karama zipo nyingi.
Mwanamke anaweza akawa anaota ama akaona ono lakini hawezi kwenda uweponi mwa Mungu kama nabii mkuu akapokea neno la Mungu

O

Wengi hili hawalijui.
Mwishowe waseme wanaofanya kazi kwenye mamlaka ya jamii ya hewa ni manabii kisa nao wanatabiri
 
soma na kwingine, wote waliompoke wamekuwa wana wa Mungu. Nyie watu wa nuru ya jioni na wasabato mnaleta mafundisho yenu humu kana kwamba nyie ni watakatifu sana. Acheni kubagua wanawake katika kumtumikia Mungu
 
Tofautisha karama ya unabii na nabii.
Unaongelea karama za unabii.
Nabii mkuu huja mmoja kwa wakati,ila karama zipo nyingi.
Mwanamke anaweza akawa anaota ama akaona ono lakini hawezi kwenda uweponi mwa Mungu kama nabii mkuu akapokea neno la Mungu

O
mimi naongelea manabii, siongelei huyo nabii wenu mkuu sijui katoka kwa shetani au kwa nani anajua mwenyewe. Miriam alikuwa nabii, ndivyo Biblia iansema, Debora alikuwa nabii. Ana alikuw anabii. na wengine hao nimeweka hapo. naweza kukubaliana na wewe kwenye watoto wa Filipo waliokuwa wanatabiri. ila siwezi kukubaliana na wengine ambao Biblia kabisa imewataja kama manabii. hawakuwa na karama ya unabii, walikuwa manabii. na ni wanawake. hiyo kujifanya nabii anakujaga mmoja tu ni mambo yako, weka mistari ya Biblia kuthibitisha hilo. ya kwangu hii hapa.

KUTOKA 15:20 Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.

WAAMUZI 4:4 Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule.

2WAFALME 22:14 Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili😉 wakasema naye.

2NYAKATI 34:22 Basi Hilkia, na hao waliotumwa na mfalme, wakamwendea Hulda nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tohathi, mwana wa Hasra, mtunza mavazi; (naye alikuwa akikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili); wakasema naye kama hayo

ISAYA 8:3 Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

LUKA 2:36 – 38 Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. 37Naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. 38Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake
 
Tofautisha unabii na karama ya unabii. Ni vitu tofauti

Ha
Biblia inasema hao walikuwa manabii, ila wewe unasema hao walikuwa na karama ya unabii. hebu soma hapa.

KUTOKA 15:20 Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.

WAAMUZI 4:4 Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule.

2WAFALME 22:14 Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili😉 wakasema naye.

2NYAKATI 34:22 Basi Hilkia, na hao waliotumwa na mfalme, wakamwendea Hulda nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tohathi, mwana wa Hasra, mtunza mavazi; (naye alikuwa akikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili); wakasema naye kama hayo

ISAYA 8:3 Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

LUKA 2:36 – 38 Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. 37Naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. 38Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake
 
kwahiyo hauamini kama hao walikuwa manabii wanawake, wakati pameandikwa walikuwa manabii? soma tena.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…