Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume.

Unapozungumzia Mungu, unazungumzia kitu kinaitwa sheria. Kwa sababu Mungu ni utawala, na hakuna utawala usio na sheria. Sasa unapomtaja Yehova lazima uzingatie sheria zake.

Yehova hamtambui Mwanamke kama Kiongozi. Yehova hamtambui Mwanamke kama mtawala. Zingatia Mchungaji, mtume au nabii ni cheo cha kiuongozi katika masuala ya kiroho.

Mchungaji wa nini? Anachunga kina nani anatumwa ña nani? Ujumbe wake anautoa kwa misingi ipi?

Ingawaje kwenye Biblia wapo wanawake waliotajwa na waandishi kama Manabii lakini ni kwa maoni na hisia tuu za waandishi na wala haiwi maana kuwa kuna manabii au mitume au wachungaji wakike.

Yehova sheria zake zimekaa kiitifaki.
Sio kwamba Yehova kamdharau Mwanamke, hapana bali yeye mwenyewe anasababu zake ambazo sisi hatuzijui.

Kwa sisi Watibeli pia, Wanawake hawawezi kuwa viongozi au watawala katika masuala ya kiimani(kiroho), kimwili, na kiakili na hata kihisia.

Mwanamke ataongoza na kutawala pale ambapo mwanaume hayupo.
Na Mwanamke atapewa nafasi ya kutawala na kuongoza lakini kwa sharti kuwa nyuma yake yupo au wapo wanaume wanaomuoñgoza.

Kiimani mwanamke hapaswi kuongoza mahali palipo na wanaume au mwanaume. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka ishirini na moja. Ila akiwa nyumbani anaweza kutoa huduma za mafundisho, maombi akiwa na watoto wake. Baba akiwepo ndiye ataongoza mambo yote,
Kuanguka kwa Nyumba au familia kutatokana na udhaifu wa kiongozi(Baba) kwa kushinda kuongoza familia hasa kwènye ishu za msingi ikiwemo suala la kiimani.

Mwanaume lazima aandaliwe kuongoza maisha yake, familia na jamii katika ñyanja zote.
Mwanaume anaweza akawa mahiri wa kutafuta mali lakini kama atashindwa kwenye kipengele cha imani, lazima familia itamsumbua.

Wanaume lazima waelewe kuwa huwezi kuongoza familia kama huna uelewa wowote na mambo ya kiimani.
Na Mwanamke hawezi kukuheshîmu kama hujamtiîsha roho yake yaani imani yake haujaitawala.
Sio ajabu unaweza ukawa na pesa au cheo kikubwa lakini Mkeo akawa anamsikiliza na kumheshimu mchungaji au padri au askofu wake kuliko wewe. Au anamsikiliza mganga wake kukuliko.

Taikon kila mara naeleza kuwa, future ya Utawala na uongozi wa familia upo katika namna ulivyomjenga na kumtawala mkeo na familia yako kiimani.

Na hakuna mchungaji,nabii wala mtume mwanamke. Iwe kwenye familia yako, jamii au taifa.

Mke akiwa mchungaji, au nabii au mtume automatically amejipa nao ujiingiza katika nafasi ya mwanaume. Yaani hapo tunasema kama mkeo ni mchungaji au nabii au mtume basi umeoa mwanaume mwenzio. Na naturally lazima mtaachana tuu.

Hivyo simshangai Christina Shusho kwani hivyo ndivyo ilivyo.

Mwanamke anaweza kuwa Mwalimu lakini sio mchungaji, nabii au mtume.

Mwanamke atakuwa mchungaji, nabii au mtume kama ametumwa na Mungu asiyeitwa Yehova, Allah na yule Mungu wa Tibeli.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
ni kwamba umekosa tu ufahamu. Kwa desturi za kiyahudi miaka ile, asingeweza. ila sio kwa desturi ya Mungu.

Matendo 2:17 - 18, na Yoeli 28, utakuta imesema;

Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. 18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.

LUKA 2:36 INASEMA: Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. huyu alijitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wanautarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.

kwa kifupi, kwa desturi ya middle east, mwanamke hathaminiwi, ila Mungu ana desturi zake. pia, Roho Mtakatifu amekuja kututia kweney kweli yote, ukiwa naye leo atakufunuliwa kama mwanamke anaweza kuwa mchungaji/mhubiri/nabii au la. kama huna utakuwa mshika mafundisho ya sheria tu kama ulivyo na hayatakusaidia hata ukikariri Biblia nzima.
 
ni kwamba umekosa tu ufahamu. Kwa desturi za kiyahudi miaka ile, asingeweza. ila sio kwa desturi ya Mungu.

Matendo 2:17 - 18, na Yoeli 28, utakuta imesema;

Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. 18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri
LUKA 2:36 INASEMA: Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. huyu alijitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wanautarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.
Unajua maana ya Nabii? Nazungumzia maana ya msingi.

kwa kifupi, kwa desturi ya middle east, mwanamke hathaminiwi, ila Mungu ana desturi zake. pia, Roho Mtakatifu amekuja kututia kweney kweli yote, ukiwa naye leo atakufunuliwa kama mwanamke anaweza kuwa mchungaji/mhubiri/nabii au la. kama huna utakuwa mshika mafundisho ya sheria tu kama ulivyo na hayatakusaidia hata ukikariri Biblia nzima.
Desturi zipi na za jamii ipi ambazo zamani Mwanamke alithaminiwa?

Mûngu ni sheria. Unaposema mtu asiwe mshika sheria unamaanisha Mtu asimshike Mungu?
Embu eleza ni kwa namna ipi umuabudu Mungu pasipo kushika sheria?

Mûngu ni mtawala, na kwenye utawala kuna sheria. Utatengaje sheria na utawala? Au mambo ya utawala huyaelewi?
 
Unajua maana ya Nabii? Nazungumzia maana ya msingi.

Desturi zipi na za jamii ipi ambazo zamani Mwanamke alithaminiwa?

Mûngu ni sheria. Unaposema mtu asiwe mshika sheria unamaanisha Mtu asimshike Mungu?
Embu eleza ni kwa namna ipi umuabudu Mungu pasipo kushika sheria?

Mûngu ni mtawala, na kwenye utawala kuna sheria. Utatengaje sheria na utawala? Au mambo ya utawala huyaelewi?
kwani Biblai inaposema "na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri", wewe unaelewa nini?

kumbuka kichwa cha habari umesema mwanamke hawezi kuwa mchungaji, na hawezi kutabiri.

na unasema mwanamke hawezi kua nabii, wakati hata Yesu alipozaliwa Ana alikuwa nabii na alitabiri. pia, hao "watumishi wangu" ni wa aina gani? mwanamke hawezi kuwa mtumishi wa Mungu?
 
kwani Biblai inaposema "na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri", wewe unaelewa nini?

kumbuka kichwa cha habari umesema mwanamke hawezi kuwa mchungaji, na hawezi kutabiri.

Ndio kwa Yehova kiitifaki Mwanamke anakosa sifa ya kuwa Kuhani, mchungaji na nabii.

Ñdio nikakuuliza unajua maana ya Nabii?
Utabiri ni sifa mojawapo ya Nabii. Lakini kuwa. Mtabiri pekee haimaanishi wewe ni Nabii
 
hujui hata unachoongea. tueleze basi wewe 'nabii" ni mtu wa aina gani, huyo anayeongelewa kitabu cha Yoel.
 
Majukumu ya Nabii na mtume yanafanana.

Nabii ni mtu ambaye ni mjumbe au kijumbe cha Mungu. Na vipo vigezo vyake.
Anaweza kuwa mtabiri au asiwe mtabiri
Mfano, Ibrahim, Isaka, Ayoub ni manabii ambao hawakuwahi na Karama ya kutabiri
 
wewe unasema siku hizi hakuna manabii, wakati Neno la Mungu linasema "na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri"

ndio nimekuuliza, unaueleweje mstari huo?
 
Nikakuambia kutabiri sio kitu pekee ambacho kinafanya mtu aitwe Nabii.
Mwishowe utasema hata Watabiri wa hali ya hewa ni manabii.
Au yule maharage ya ukweni alivyotabiri kuanguka kwa ndege na ikatokea utamuita nabii.
 
shida yako kubwa wewe ni kubishana sio kuelewa, na pia upo mbali na Mungu. ulishawahi kusoma LUKA 2:36? Aliyemfanya yule nabii Mwanamke ni Mungu wa Israel au ni mungu wako wa kindengereko?
 
shida yako kubwa wewe ni kubishana sio kuelewa, na pia upo mbali na Mungu. nachelea kusema nikuache tu ubaki kama ulivyo, kuna siku Mungu atakusaidia ufumbuke ama la utabaki hivyo hivo milele.Mungu akusaidie.

Huu ni mjadala, unajua maana ya mjadala?
Wewe umeuliza maswali nimekujibu.
Nakuuliza yangu unasema mimi ni mbishi. Hujui maana ya mijadala?

Nakuuliza tena, kîla anayetabiri kwa uelewa wako ni Nabii?
 
soma Kutoka 15:20 kuhusu Miriam
soma Waamuzi 4:4 utamkuta Debora
soma 2Wafalme 22:14, na 2Nyakati 34:22 utamkuta Hulda
soma isaya 8:3 utamkuta mke wa Nabii Isaya
soma Luka 2:36 - 38 utamkuta Ana binti penueli
soma Matendo 21:8 - 9 utawakuta mabinti wa Filipo.

je? hawa kwenye hiyo mistari, walikuwa manabii wa Yehova au manabii wa mungu wako bibi yako? (kidding).
 
Kasome àndiko lañgu upya.

Ukiulizwa uelezee unabii wa hao uliowataja utaeleza?
Zakuambiwa changanya na zako Mkuu
 
UNASEMA, MUNGU WA ISRAEL HAWEZI NA HATAMBUI MWANAMKE KUWA MCHUNGAJI AU NABII, NA MIMI NAKUWEKEA MANABII WANAWAKE HAPA CHINI, MUNGU HUYO ALIWAFANYA MANABII.

KUTOKA 15:20
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.

WAAMUZI 4:4 Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule.

2WAFALME 22:14 Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili😉 wakasema naye.

2NYAKATI 34:22 Basi Hilkia, na hao waliotumwa na mfalme, wakamwendea Hulda nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tohathi, mwana wa Hasra, mtunza mavazi; (naye alikuwa akikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili); wakasema naye kama hayo

ISAYA 8:3 Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

LUKA 2:36 – 38 Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. 37Naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. 38Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.

MATENDO 21:8 – 12 Asubuhi yake tukaondoka, tukafika Kaisaria, tukaingia nyumbani mwa Filipo, mhubiri wa Injili, aliyekuwa mmoja wa wale saba, tukakaa kwake. 9 Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri. 10 Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Uyahudi. 11Alipotufikia akautwaa mshipi wa Paulo, akajifunga miguu na mikono, akasema, Roho Mtakatifu asema hivi, Hivyo ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mtu mwenye mshipi huu, nao watamtia katika mikono ya watu wa Mataifa.
 
kama hadi hapo utakuwa haujaelewa, basi wewe utakuwa sikio la kufa.
 
Mkuu hayo maelezo na hizo Aya ànayesimulia ni mwandishi.
Ni kama vile wale wanaosema Yesu ni Mungu kwa Mujibu wa waandishi lakini kiuhalisia jambo hilo halipo hivyo.

Nimekuambia Nabii ni mtu ambaye ni mjumbe au kijumbe cha Mungu. Ingefaa ûweke Aya ambayo kuna kuna mwanamke ambaye aliwahi kuwa kijumbe au mjumbe wa Mungu.

Kwenye andiko langu nimeelèza kuwa kwenye biblia wapo waandishi kwa maoni yao waliwahi kuwaita baadhi ya wanawake kuwa ni manabii lakini kiuhalisia sio kweli,

Ni kama ilivyo baadhi ya waandishi kwa maoni na hisia zao kumchukulia Yesu kama Mungu alafu Watu wasio na uelewa wakasema Yesu ni Mungu ndicho ambacho wewe na uelewa wako unakifanya
 
Back
Top Bottom