4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
mtu muhimu ??? kwamba kuna watu ambao sio muhimu??.............(ulimwengu wa manabii na mitume uchwara huu ni shida tupu) et mtu muhimuWakuu kwema rejea habari hapo juu , ndivyo ilivyo , kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji ,manabii uchwa ra watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa , yupo katika mauti , nikijaribu msadia , zikatoka farasi kumi , zimebeba watu 10 wakitaka nishambulia, kwanini nataka toa msaada kwa uyu mtu, na kupewa onyo kali , ila sauti ya mwisho toka kwa watu walio juu ya farasi wakasema nisirudie tena msaidia mtu uyu ,
Mungu wangu ,mwanifu Sana Tunzeni hii,
Naogopa sana , acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala
Nchi hii kama ulikua hujui ,wapo waliojipa daraja la kwanza kama vile hawaendi timiza haja za mwili maliwato , nafikili umeelewamtu muhimu ??? kwamba kuna watu ambao sio muhimu??.............(ulimwengu wa manabii na mitume uchwara huu ni shida tupu) et mtu muhimu
itoshe kusema una akili robo.
Haina shida ,tunza hii mkuu
- Umauti Hauhitaji Maono
- Umauti Hauzuiliki
- Umauti Hauna Cha Ukuu
- Umauti Hauombwi
- Umauti Hauna Huruma
- Umauti Ni Kwa Kila Kilicho Hai.........Umauti Ni Lazima Utokee Tu......Umauti Auhitaji Utabiri Wala Maono,,Wala Kuoteshwa Sijui,, Kwa Kuwa Ni Jambo Ambalo Lazima Litokee Tuu Taka Usitake.....!!!
Sawahata kama naheshimu uhuru wa maoni, ila huu ni usangoma wa kitapeli.
Chukua iyo 3.5 mkuuYes Odds 3.5 No Odds 1.2
Duh!. .Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka nishambulia, kwanini nataka toa msaada kwa uyu mtu, na kupewa onyo kali ila sauti ya mwisho toka kwa watu walio juu ya farasi wakasema nisirudie tena msaidia mtu uyu
Mungu wangu mwanifu Sana Tunzeni hii,
Naogopa sana acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala
Ndio ,code kakupa Mungu ila unaogopa kuitoa?
Nakuamini mbatizajiChukua iyo 3.5 mkuu
Mkuu hata mie sielewi yaniDuh!. .
sawa mkuuNdio ,
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!hata kama naheshimu uhuru wa maoni, ila huu ni usangoma wa kitapeli.
Nitaitunza Kama Ukitutajia Siku Tu,, Ya Umauti Ya Huyo Muhusika Wako,,Ulioonyeshwa Kwenye Hayo Maono...Haina shida ,tunza hii mkuu
Rubbish!!unisamehe rafiki. Wewe ni mtu wa hoja , facts, evidence and not myths, beliefs and the like!Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka nishambulia, kwanini nataka toa msaada kwa uyu mtu, na kupewa onyo kali ila sauti ya mwisho toka kwa watu walio juu ya farasi wakasema nisirudie tena msaidia mtu uyu
Mungu wangu mwanifu Sana Tunzeni hii,
Naogopa sana acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala