Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

Naogopa sana acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala
Kuna mwamba alisema na yeye anavutaga ndio maana hua anafokaga vile akiwa kwenye podium, hivi ulimuona huko akiwa anavuta kweli au tumepigwa kamba maana lile jicho unajiuliza atakua kalamba au kaonja glass ya wine?
 
Nawote tuseme AMEEEN?? ENHEEE je ndie yuleee yuleeee tunayemngojea au tusubiri jambo lamuhusu mwingine??😂😂, kama ndie yeye je yatatokea lini? Mjue tumechoka kusubiri tunalitaka sana jambo letu kitaifa... Amakweli wabaya hawana thamani😂😂
 
Back
Top Bottom