Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

Imani zingine ni aina fulani ya utahira
 
Itakuwa lini mkuu? Au kwa wakati ulioamriwa ? Kwa kuwa haina budi kuja haitakawia?
 
Naogopa sana acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala
Kuna mwamba alisema na yeye anavutaga ndio maana hua anafokaga vile akiwa kwenye podium, hivi ulimuona huko akiwa anavuta kweli au tumepigwa kamba maana lile jicho unajiuliza atakua kalamba au kaonja glass ya wine?
 
Nawote tuseme AMEEEN?? ENHEEE je ndie yuleee yuleeee tunayemngojea au tusubiri jambo lamuhusu mwingine??😂😂, kama ndie yeye je yatatokea lini? Mjue tumechoka kusubiri tunalitaka sana jambo letu kitaifa... Amakweli wabaya hawana thamani😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…