Mungu wape radhi ndugu zetu vipofu na vilema siku ya hukumu

Mungu wape radhi ndugu zetu vipofu na vilema siku ya hukumu

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Kama mungu ameahidi kuwa hurumia na kuwapa pepo wagonjwa wa Tauni apa duniani, aangalie kwa jicho la pili awa ndugu zetu waliozaliwa na kilema cha kuongea au kusikia au kuona maana wanapata shida katika moja na mbili.

Vuta picha mtu kazaliwa kipofu hajawai kuona jinsi gani ulimwengu ulivyo zaidi ya kuhisi tu eeeh Mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi wape huruma yako ndugu zetu awa.

Hii ni miongoni mwa hadith ya mtume inaitwa AL-MAT'UUNU SHAAHIDUN inasema mwenye kufa na tauni ni shahidi.

"Tauni ni ugonjwa mbaya sana ambao unampa mtu udhia mkubwa mno. Mwislamu anayeugua ugonjwa huu ameitwa shahidi kwasababu hupata taabu nyingi duniani. Na mungu mwenye huruma hautaki kumwadhibu mara ya pili Akhera"
 
Kuzaliwa Mlemavu iwe kipofu au Fukara au hiyo Tauni pamoja na Ukoma SIO SABABU YA MUNGU KUKUONEA HURUMA
 
Back
Top Bottom