GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ingia YouTubeUshahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia YouTubeUshahidi?
Mfano wa nini hasa?Mfano?
Nipe source inayoeleweka Kama ITV BBC etc sio story za udaku...na utume link hapaIngia YouTube
Vitu ambavyo Nina amini bila ushahidiMfano wa nini hasa?
Inaelekea haujawahi kusikia habari za Mungu kiufasaha. Ndiyo maana una mitazamo yako binafsi ambayo ni potofu. Nakushauri fanya kama wafanyavyo wasomi wenye akili.Hayo maumivu ya moto unayesiaje bila kuwa na ubongo, ngozi, spinal cord na nerve cells. Unajua dawa ya kuuwa ganzi inafanyaje katika mwili. Sasa ndo ukishaelewa medicine, ukijua maumivu yanasababishwa na Nini...utaacha kuamini story za watu wa kale ambao hawakujua chochote kuhusu mwili wa binadamu...eti moyo ndo unafikra na ndo una roho jamani jamani.. biology form 2 rudini
Inaelekea haujawahi kusikia habari za Mungu kiufasaha. Ndiyo maana una mitazamo yako binafsi ambayo ni potofu. Nakushauri fanya kama wafanyavyo wasomi wenye akili.Hayo maumivu ya moto unayesiaje bila kuwa na ubongo, ngozi, spinal cord na nerve cells. Unajua dawa ya kuuwa ganzi inafanyaje katika mwili. Sasa ndo ukishaelewa medicine, ukijua maumivu yanasababishwa na Nini...utaacha kuamini story za watu wa kale ambao hawakujua chochote kuhusu mwili wa binadamu...eti moyo ndo unafikra na ndo una roho jamani jamani.. biology form 2 rudini
Jibu swali...usiniletee vitabu viwili kati ya dini 3000 duniani just coz hizi dini mbili zipo mtaani kwenu. Jibu swali maumivu unayasikiaje.. huwezi kaa kimyaInaelekea haujawahi kusikia habari za Mungu kiufasaha. Ndiyo maana una mitazamo yako binafsi ambayo ni potofu. Nakushauri fanya kama wafanyavyo wasomi wenye akili.
Chukua QURANI uisome mwanzo hadi mwisho.
FANYA hivyo na kwa Biblia, isome Mwanzo hadi Ufunuo.
Hapo ndipo utakapokuwa na uhalali wa kubisha au kukataa.
Tofauti na hapo, itakuwa ni sawa na kumshindanisha kipofu na mtu anayeona katika shindano la kubaini aina za rangi.
Acha kurudia texts usipanic relaxInaelekea haujawahi kusikia habari za Mungu kiufasaha. Ndiyo maana una mitazamo yako binafsi ambayo ni potofu. Nakushauri fanya kama wafanyavyo wasomi wenye akili.
Chukua QURANI uisome mwanzo hadi mwisho.
FANYA hivyo na kwa Biblia, isome Mwanzo hadi Ufunuo.
Hapo ndipo utakapokuwa na uhalali wa kubisha au kukataa.
Tofauti na hapo, itakuwa ni sawa na kumshindanisha kipofu na mtu anayeona katika shindano la kubaini aina za rangi.
1. Kwamba wewe ni mtoto wa fulani...Vitu ambavyo Nina amini bila ushahidi
Katika hizo 3000 unamwamini Mungu wa dini ipi?Jibu swali...usiniletee vitabu viwili kati ya dini 3000 duniani just coz hizi dini mbili zipo mtaani kwenu. Jibu swali maumivu unayasikiaje.. huwezi kaa kimya
1. Documents zipo hata video ukitaka zipo1. Kwamba wewe ni mtoto wa fulani...
2. Kwamba wewe ulizaliwa tarehe fulani kisa tu uliambiwa hivyo na mzazi wako
3. Kwamba unao utumbo na huku hujawahi kuuona
4. Kwamba unao ubongo kwa vile ulishaaminishwa hivyo
... orodha ni ndefu...
Siamini yoyote coz wote ni fikra...ila we unaamini ambae umekuta wazazi wako au jamii yako imeamini na wao wameamini kwa sababu ya ukoloni...Katika hizo 3000 unamwamini Mungu wa dini ipi?
Si lazima uwe na ubongo kwa sababu tu wengine wanao ubongo. Kuna mtu alishawahi kufanyiwa upasuaji wa kichwa, kukakutwa maji tofauti na ilivyokuwa ikiaminika kuwa mtu asiye na ubongo hawezi kuishi.1. Documents zipo hata video ukitaka zipo
2. Same again official documents na video zipo
3. Naona kazi ya utumbo na Kuna binadamu Kama Mimi utumbo wao umeonekana so why shouldn't I trust the science telling me Nina utumbo.
4. Ninaona kazi ya ubongo, ninaona madhara ya watu wenye matatizo ya ubongo, Kuna CT scan technology mahospitalini, pia Kuna binadamu kama Mimi wameonekana ubongo wao ..
The evidence goes on
Siyo kweli. Sijafuata mkumbo. Nafahamu, bila chembe ya mashaka kuwa Mungu yupo. Nafahamu, pasi na shaka yo yote kuwa Mungu ni Halisi, Naam, ni Halisi hata kuzidi ngozi ya mwili wangu.Siamini yoyote coz wote ni fikra...ila we unaamini ambae umekuta wazazi wako au jamii yako imeamini na wao wameamini kwa sababu ya ukoloni...
Wewe ni mvivu wa kusoma?Jibu swali...usiniletee vitabu viwili kati ya dini 3000 duniani just coz hizi dini mbili zipo mtaani kwenu. Jibu swali maumivu unayasikiaje.. huwezi kaa kimya
God dwell in light !...Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.
Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.
So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.
Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.
Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.
Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Biblia ina contradictions kibao ambazo nikikupa hapa huwezi kuzitengua, hilo linaonesha Biblia ni kitabu kisicho na mantiki, kilichoandikwa na watu tu, tena zama za ujinga.Biblia ni Jibu la kila Swali katika maisha yako;Hivyo basi soma Biblia.
Kama mtu anaamini kweli Mungu yupo, na anahesabu dhambi, na atatoa adhabu, hawezi kufanya kinyume na maagizo ya Mungu huyo.Mungu huyo alivyojengwa kidhana ni mkubwa sana na ana nguvu sana kumuasi.Kuamini juu ya uwepo wa Mungu ni tofauti na kumwamini Mungu.
Kumwamini ndiko kunakomfanya mtu awe na matendo yanayoshabihiana na imani yake.
Hata Shetani na wachawi wanaamini kuwa Mungu yupo, lakini wamechagua kutokumwamini, hivyo matendo yao yanapingana na matakwa ya Mungu.
Mtu anaweza kuamini juu ya uwepo wa Mungu na bado akatenda kinyume na Mungu, lakini yeyote anayemwamini Mungu hata matendo yake yataakisi hivyo.
Mkuu maelezo yako ya mwanzo yanafikirisha sana na yana ukweli mtupu.Kama mtu anaamini kweli Mungu yupo, na anahesabu dhambi, na atatoa adhabu, hawezi kufanya kinyume na maagizo ya Mungu huyo.Mungu huyo alivyojengwa kidhana ni mkubwa sana na ana nguvu sana kumuasi.
Watu kufanya dhambi ni aina fulani ya kupiga kura ya kutokuwa na imani ya uwapo wa huyo Mungu.
Bado actions speaks louder than words, whether consciously or subconsciously.
Yani hata wewe ukifikiri unaamini Mungu yupo, ukajua kakataza kuiba, halafu ukaiba, hiyo ni rebellion inayotoa statement kwamba huamini sana kwamba Mungu yupo na atakuadhibu kwenda kwenye moto wa milele kwa dhambi zako. Watu wengi sana hawaamini Mungu yupo, wangeamini, dunia ingekuwa tofauti sana na ilivyo sasa.
In any case, huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Mimi sina tatizo na imani ya kuwepo Mungu.Mkuu maelezo yako ya mwanzo yanafikirisha sana na yana ukweli mtupu.
Hitimisho lako ni ngumu kumeza.
By the way mimi ninaamini kuwa Mungu yupo, kuthibitisha ndio siwezi.