Mungu Yuko wapi?

Hizo habari ni hadithi za kutunga tu kwa sababu ya hizo contradictions.

Hadithi inaweza kuwa na contradiction, ukweli hauna contradiction.
Bible haina contradiction bali contradiction ni mawazo ya msomaji...... kwenye saikolojia kuna kitu huitwa perception...hii ni mitazamo tofauti juu ya picha moja mtu ana jinsi anavyouona ulimwengu na kila kitu kilichopo sø hata ww kusema bible ina contradiction kisaikolojia tunacoclude kwamba madai yako h\yawezi kuchukuliwa kuwa ni sahihi kwa sababu kwa upande mwingine kile unachoona hakipo sawa kwake kipo sawa na kinaeleweka na hata post yako haiwez kusimama kama principal maana ile ni idea yako na si idea ya watu wote.
 
Musa mwenyewe historia inasema hajawahi kuishi, archaeology iliyofanyika Egypt na Israel inasema story yote ya Exodus haina uthibitisho wa kihistoria
Wapotoshaji hawaj anz jana na leo. Wapo tokea miaka ile.

Kwa ufupi tu chunga kauli zako, usijifanye mjanja. Zitakuja kukuponza
 
Yani hata hujaniuliza contradictions ziko wapi ushakimbilia kusema Bible haina contradictions?

Nikiziweka hapa utazitatua zote?
 

Namuamini asiyejua kusoma na kuandika, naiamini pia science ya leo yenye ushuhuda, GOOD LUCK ni kwamba havipishani, usiwe tu mvivu wa kusoma, 'free-mind' as well
 

Qur'an 86:6-7 Ameumbwa mwanadamu kwa tone linalotoka kati ya mgongo na mbavu. Hii imeandikwa karne ya 7.

Wanasayansi wakaanza tafiti zao 1980's chini ya Prof Keith Moore wa Toronto University, wakathibitisha baadae sana,
 
Hautoi nafasi ya hata kidogo kuwa si lazima mtu awepo aliyefanya hivo?
Wewe tuonyeshe ya kuwa hivyo vitu vinaweza kutokea pasi na chochote.

Yaani tueleze ilikuwaje vikawa hivi vilivyo.
 
Kwanini hufikirii kutumia akili zisizo za kawaida?

Kama Dunia ina chanzo, huyo Mungu yeye atakuwa katoka wapi
Akili zisizo za kawaida zikoje ?

Unakubali kuna infinity series ?
 
Si lazima awepo mtu aliyefanya ndiyo ila kuna nguvu inayowezesha hayo, Haya wewe nikuulize tuu swali mimi naweza kutumia maandiko ya vitabu vya dini kuthibitisha uwepo wa Mungu haya na wewe unathibitisha na nini kwamba hayupo?
Maandiko yapi unayatumia na kumthibitisha Mungu yupi
 
Basi niambie watu au malaika wangapi walikuwepo kaburini, ukitoka hapo uniambie je lugha tofauti zilianza baada ya watoto wa nuhu kusambaa au baada ya tower of babel, na Mungu aliumba mwanamke na mwanaume au mwanaume then mwanamke, na pia nani alimwambia Daudi afanye sensa...
 
Wapotoshaji hawaj anz jana na leo. Wapo tokea miaka ile.

Kwa ufupi tu chunga kauli zako, usijifanye mjanja. Zitakuja kukuponza
😂Kama hamna ushahidi wa hizo story si za uwongo au...we ndo umepotoshwa na kanisa lako ili uwanunulie magari
 
Qur'an 86:6-7 Ameumbwa mwanadamu kwa tone linalotoka kati ya mgongo na mbavu. Hii imeandikwa karne ya 7.

Wanasayansi wakaanza tafiti zao 1980's chini ya Prof Keith Moore wa Toronto University, wakathibitisha baadae sana,
Ujue imani yenu bhana katika kuharibu tafiti za watu sio vzuri.
Then unatuambia kuwa sayansi ilithibitisha kuwa manii inatengenezwa katika uti wa mgongo na si korodani.

Kwanza Huyo Professor hasemi hivyo.

Hasemi kuwa manii inatengenezwa katika uti wa mgongo kama unavyodai wewe.

Kitu alichokisema huyo Proffesor na kinajulikana hadi leo alisema kuwa...

"uti wa mgongo na sehemu zake hujitokeza na kukua wakati wa hatua za kwanza za maendeleo ya kiinitete na fetus"

Madai yako ni ya uongo, unaweza kuleta maeleo ya ziada yenye kuonesha kupinga hii kauli nliyokupa hapo?
 
Namuamini asiyejua kusoma na kuandika, naiamini pia science ya leo yenye ushuhuda, GOOD LUCK ni kwamba havipishani, usiwe tu mvivu wa kusoma, 'free-mind' as well
Kama unaiamini science huwezi ukaamini hiko kitabu chako chenye uongo wa wazi kabisa wakati sayansi hiyo hiyo inakiprove wrong kila kukicha.

Hata madai yako ya mbegu za kiume kutengenezwa na uti wa mgongo ni ya uongo.

Unabisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…