UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nishakuzoea,twende hivyo hivyo unavyotaka kadri ya uelewa wako.Mapepe unayo wewe.
Mimi nakwambia Rais Samia ambaye maelezo ya kuwapo kwake yana contradiction, kama vile Rais Samia ambaye hapo hapo ni mwanamme na mwanamke, au ambaye kwa wakati mmoja yupo Dar na Dodoma, hayupo.
Halafu wewe unaniuliza kuhusu Rais Samia amabye maelezo ya kuwapo kwake hayana contradiction.
Umeelewa hata somo wewe?
Sasa nikuulize ni nini maana ya kuondoa contradiction kwenye kitu chenye contradiction? Yani kama Rais Samia ambaye ni mwanamke na hapo hapo ni mwanaume inafanya kuwa ni contradiction na kufanya kuwa hayupo Rais Samia huyo je hapo kuondoa hiyo contradiction kuna maana gani?