Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Nimejaribu kukaa kimya lakini nimeshindwa. Sijui lengo la wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu wanafanya hivyo kwa nia gani hasa! Ni kweli hawaamini kuwa Mungu Yupo au ni wanataka kuwafikirisha watu zaidi? Lengo lao ni ili watu wakazane zaidi kumtafuta Mungu au waachane na imani ya kumwamini Mungu?

Wengine wanadai Vitabu vitakatifu vina contradiction, jambo ambalo siliamini.


Kwa mfano Biblia, na ninaizungumzia Biblia kwa sababu ndiyo niliyoisoma, haina mkanganyiko wowote ule. Tatizo linakuwa tu kwenye uelewa wa mtu mwenyewe.

Nimesoma baadhi ya hoja zinazodaiwa ni za wanazuoni wa Biblia, za kile wanachokisema contradictions za Bible. Nimeshangaa kama the so called professor wa Theology anakanganywa na mambo mepesi hivyo, huo uprofesa sijui ailupataje! Ndiyo wale wale wanaofikiria wanaijua Biblia kisa tu wamekariri vichwani mwao lakini hawajaliruhusu Neno kuingia mioyoni mwao. Kama Maandiko yamewajaa vichwani lakini mioyoni ni kukame, ni rahisi kujichanganya na hata kuwachanganya wengine

Mahali pekee sahihi kwa Neno la Mungu ni moyoni mwa mtu, ni hapo ndipo uhalisia Wake utakapoweza kuonekana na kuwa msaada kwa mhusika.

Wanaodai Biblia inakanganya ni kwa sababu hawajaitafsiri kwa kufuata maelekezo ya Biblia yenyewe. Maandiko yanatafsiriwa kwa Maandiko.

Ikiwa utakutana na Andiko usilolielewa, usikurupuke kujipa maana unayohisi. Tulia. Omba na kusubiria majibu kwa "Librarian" wa Mbinguni.

Biblia inasemaje kwa habari ya kutafsiri Maandiko? Kila Neno lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu. Maana yake, endapo ukikutana na mstari unaozungumzia jambo fulani, hupaswi kuitumia kama reference mpaka utakapopata ushahidi wa Andiko lingine linaloiunga mkono. Vinginevyo, huo mstari unaweza ukawa unamaanisha kitu kingine tofauti na ulivyofikiri.

Kama haujalielewa Andiko, ni bora uliache mpaka utakapolielewa. Ndivyo Biblia inavyoelekeza: "Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele..." Kumbukumbu la Torati 29:29.

Kuhusu kutafsiri Maandiko, thibitisha kwa kutumia Maandiko mengine. Ukikosea Andiko linalounga mkono, inawezekana likawa na maana tofauti na uliyoidhani au huenda wewe ndiyo hujaelewa. Unaweza ukawauluza unaowaamini wanao uelewa kukuzidi.

Muhimu ni kuhakikisha kuwa kila Andiko lina Andiko linalokubalinana nalo.

"... Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno litathibitishwa." 2Wakorintho 13:1

"...jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu." Kumbukumbu la Torati 19:15

"...ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike"Mathayo 18:16


"Usikubali mashitaka ya mzee Ika kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu" 1Timotheo 5:19.

Kamwe, hakuwezi kuwa na mkanganyiko endapo utaitafsiri Biblia kwa kuitumia Biblia.
Wewe jamaa nimuongo bana inamana unataka kuniambia hii Elimu ya usomaji biblia umeitoa wapi? Wakati biblia yenyewe mnasema ni muunganiko wa vitabu na sio vyuo?
 
Hoja yako ya kwamba wenye kufanya mambo yaliyokatazwa na Mungu ni kwamba wanafanya hivyo kwa sababu hawaamini Mungu imeishia vp?
Jamaa anataka kujua kwann Mungu aliumba watu ambao wanaweza kutokumwamini wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu? Inamana Mungu anabahatishabahatisha mambo ndio maana alimuumba malaika bila kujua mwishowe atakuwa shetani? Yaani Mungu hana utofauti na Magu alivyomchagua mama Samia kuwa makamu bila kujua huyu makamu angeweza kuwa against pindi yeye hayupo?
 
haha, nilikutana na kibano ndugu niliingia kijiji flan kigoma kijijini.imefika usiku nimeingia kulala ni kakalibishwa kwa shoti ukutaani kama za radi, siku ya pili nilikuwa naota ile kuamuka nakuta wazee wangwasuma wamenizingira geto natoa sauti ikawa haitoki ndipo nikajitoa ufahamu nikasema kwa jina la yesu wanga wakapotea pale pale.
Chai hii kaka kama sio ndoto
 
Okay so why uamini Mungu yupo, Kuna umuhimu gani, na kwa vigezo vipi alivyokupa? Naomba ujibu haya maswali bila kutumia dini
Lakini kuna mambo mengi wanasayansi wanavumbua miaka hii hlf wanakuta kitaambo yashaandikwa kwenye hivi vitabu, tena ktk wkt ambao hakuna teknolojia, vifaa wala wasomi wakubwa.

Mfano; Qur'an imeandika uzalishwaji wa mbegu za kiume unafanyika kweny uti wa mgongo na kupitia kwenye korodani ambako huhifadhiwa kabla ya kutoka na kua manii.
Mimi had namaliza sekondari tulifundishwa mbegu hizi huzalishwa kwenye korodani, baadae miaka hii ya karibuni ndio wanasayansi wamegundua zinazalishwa kwenye uti wa mgongo na si korodani.

Wao wanasayansi wanakiri "elimu" hii hawezi kua nayo mtu wa kawaida ambaye hakusoma kbs, hivyo kuna namna ya ukweli wa maneno hayo kutoka seheme yenye nguvu "inayoamnika".
Naomba niweke kituo kwanza.
 
Chai hii kaka kama sio ndoto
mkuu ushuhuda mwingine wakati nimelala usiku nilishitukia nimewekwa mtu kati na kisu kalibia na shingo yaani nasikia makali yake yaani sijui walitaka kufanyanini wale nguruwe na nisaa 8 usiku ,milango yote imefungwa jiulize wali ingiaje?, kilicho niokoa tena ni kutaja tu kwa jina la yesu!!, baada ya tukio lile imekuwa ni heshima tupu,ni mgeni kwenye eneo hili la moro ndanindani nipo kikazi.Af atokee mtu baki eti uchawi haupo
 
mkuu ushuhuda mwingine wakati nimelala usiku nilishitukia nimewekwa mtu kati na kisu kalibia na shingo yaani nasikia makali yake yaani sijui walitaka kufanyanini wale nguruwe na nisaa 8 usiku ,milango yote imefungwa jiulize wali ingiaje?, kilicho niokoa tena ni kutaja tu kwa jina la yesu!!, baada ya tukio lile imekuwa ni heshima tupu,ni mgeni kwenye eneo hili la moro ndanindani nipo kikazi.Af atokee mtu baki eti uchawi haupo
Tukio hili linafanana na lile la kwanza kwani ulikuta kidonda shingoni?
 
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.

Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.

Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.

So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.

Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.

Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.

Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao,👉 (usimwage nje) ndugu mwandishi hapa ulimanisha nni ili niweze kuendelea kusoma maana hapo cjapaelewa 🙏
 
Umeweka hoja yako katika maswali na sio majibu. Badala ya wananzengo kukupa majibu wanapinga maswali tena.
Nami ngoja niskilizie labda kuna majibu.
 
Ukiweza kuziondoa, kimantiki, kwa namna isiyopingika, utakuwa umevunja msingi wangu wa kukataa kuwepo kwa Mungu huyo na kuweza kunifanya nisogee kwenye kukubali uwepo wake.

Lakini hujavunja contradictions hizo, huwezi kufanya hivyo, kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Mimi sina tatizo na Mungu huyo kuwepo, in fact nitafurahi akiwepo.

Lakini, ukweli ni kwamba hayupo, na siwezi kujidanganya kwamba yupo kwa sababu ni hadithi nzuri tu.

Kama unabisha, ondoa contradictions hizo.
Maelezo yako yameweka wazi kabisa vitu viwili hivi yani contraditions na kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu, kwa maana hiyo kwako wewe suala la kuwepo Mungu ni hadhiti tu za kufikirika na hadithi zenyewe zina contradictions. Umeeleza kabisa kuwa hauwezi kujidanganya kama yupo kwa sababu ukweli ni kwamba hayupo ni hadithi tu.

Kwahiyo contraditions sio zenye kufanya upinge/useme hakuna Mungu bali unasema hakuna Mungu kwa sababu unajua kuwa suala la uwepo wa Mungu ni hadithi tu hivyo una uhakika hayupo.
 
Uchawi upo ila kwa imani, labda kama haujui maana ya uchawi.
Yaani ni imani isiyo na vitendo halisi imebakia stories Tu minaweza kusema uchawi ilikuwa story za mababu kuwadanganyia watoto wao ila hawakujua wanajenga kitu gani ndani ya mioyo yao.
Mkuu story za mababu zipo na zinasimuliwa hadi sasa, imani za kichawi ni tofauti na hadithi za kusimuliwa za mababu bali imani za kichawi zipo kwenye matendo na mfano mmoja ni uwepo wa waganga ambao sehemu kubwa ya shughuli zao au huduma zao ni kushugulika na masuala ya kichawi na sio kusimulia story za kichawi.

Sasa ukija na kusema et uchawi ni story tu ambazo hazipo kivitendo nakushangaa, uchawi sio story ni imani ambayo ipo kivitendo labda ungesema huko ulaya ndio sio sana watu kujihusisha na vitendo vya kichawi ndio maana wengi hawaamini uchawi ila sio afrika.
 
Jamaa anataka kujua kwann Mungu aliumba watu ambao wanaweza kutokumwamini wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu? Inamana Mungu anabahatishabahatisha mambo ndio maana alimuumba malaika bila kujua mwishowe atakuwa shetani? Yaani Mungu hana utofauti na Magu alivyomchagua mama Samia kuwa makamu bila kujua huyu makamu angeweza kuwa against pindi yeye hayupo?
Ila maswali mengine ya kuchosha tu mkuu, kuna palipoandikwa kwamba Mungu hakujua kwamba kuna watu hawatomuamini?
 
Maelezo yako yameweka wazi kabisa vitu viwili hivi yani contraditions na kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu, kwa maana hiyo kwako wewe suala la kuwepo Mungu ni hadhiti tu za kufikirika na hadithi zenyewe zina contradictions. Umeeleza kabisa kuwa hauwezi kujidanganya kama yupo kwa sababu ukweli ni kwamba hayupo ni hadithi tu.

Kwahiyo contraditions sio zenye kufanya upinge/useme hakuna Mungu bali unasema hakuna Mungu kwa sababu unajua kuwa suala la uwepo wa Mungu ni hadithi tu hivyo una uhakika hayupo.
Hapana.

Nasema Mungu hayupo kwa sababu. Sisemi hivyo bila sababu.

Sababu yangu ni kwamba, habari zinazomueleza huyo Mungu kuwepo zina contradictions, contradictions ambazo hujaweza kuzitatua.

Contradictions hizi zinaonesha Mungu hayupo, zinaonesha habari za kuwepo kwake ni hadithi za uongo za kutungwa na watu tu.

Ukizitatua contradictions hizo, sina sababu ya kutokubali uwepo wa Mungu. Kwa kuwa utakuwa umeondoa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu.

Tatua contradictions hizo, utanisaidia kuelewa kwamba Mungu yupo kweli.

Hakuna popote ambapo nimesema kwamba nikiondolewa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu, sitakubali uwepo wa Mungu.

Ondoa contradictions kwenye dhana ya uwepo wa Mungu.
 
Kila mwalimu anatetea kwake ndo ukweli. Na wao wanajua hizi contradictions zipo wanajua havimake sense ndo maana hawakuambii. Ukisoma hivi vitabu mwenyewe ndo utaona, story zao ni zile zile Yesu Mara Musa Mara nani Ila sehemu za Biblia ambazo Zina contradictions kimaadili au kilogic hawazisomi makanisani. So huwezi jua wataishia kukusomea juu juu alafu waombe sadaka yako. Ndo mi staki. Kama Biblia imeletwa ili nisome nitasoma so mtu asinifundishe kusoma kwa sababu aliyeandika hakusema hapa pasomwe hivi na pale pasomwe vile, so mtu hawezi nielekeza jinsi ya kusoma Biblia anavyoelewa yeye. Nitaisoma nikiona Ina makosa nasema Ina makosa naiweka pembeni
Ni kweli kila mwalimu huvutia kwake, huenda hata huyo mwalimu aliyekufunza kuhusu itikadi yako naye kavutia kwake. Hizo contradictions ambazo unazizungumza huenda zikawa na majibu ila kwa kuwa ufahamu wetu haujafikia kudiriki maana halisi ya hizo unazoziita fikra kinzani ndiyo maana tunapata tabu. Swala la Mungu huwezi kulifumbua kwa kutumia logic pekee.
Tatizo kwa wakati wetu huu tuliyonao kumezuka na mtindo wa baadhi ya watu kutumia imani za dini kujinufaisha kiuchumi na huenda hata huko nyuma kuna baadhi ya watu walizitumia dini katika manufaa yao ya kiutawala na kiuchumi, hatuwezi kusema kwamba hapakuwa na watu waliyokuja na imani thabiti ya Mungu ambayo kama ingefuatwa basi mijadala kama hii isingekuwepo.
 
Ila maswali mengine ya kuchosha tu mkuu, kuna palipoandikwa kwamba Mungu hakujua kwamba kuna watu hawatomuamini?
Hapajaandikwa lakin je! Kwann aumbe watu ambao hawatomuamini? Au alifanya hivi ili akawachome moto?!
 
Wewe unaweza ukawa na matatizo yako ukasema ni uchawi mwingine akatafsiri kilogic na akalitatua bila uganga Wala mwamposa, we kusema umetokea na mapepo ni we kushindwa kutafsiri natural phenomena ukaassume ni mapepo. Mi nililala usiku nikaganda Ila sikupanic coz najua ni sleep paralysis ila mtu mwingine atajua ni jinamizi ataanza kutafuta mganga au mchungaji. Knowledge is power, ukielewa circumstances za ubongo vizuri huwezi kuamini uchawi

hii kitu ya kuganda usingizini ishanitokea sana mkuu
 
Aisee unashida sana kuelewa.

Nimekuambia, dini ni matokeo ya imani ya uwepo wa MUNGU. Kuna kimoja kinaanza kingine kinafata. Hapo huelewi nini?

Wakiitwa watu wanaoamini uwepo wa MUNGU watatoka wakristo, waislamu na wengine wote. Ila wakiitwa wanaoamini MUNGU wa biblia watatoka wakristo. Hivi hapa huelewi kweli tofauti ya dini na imani ya uwepo wa MUNGU? Au wewe ni mbishi kiasili? Yaani lazima ubishe.
Kwa mfano wako uliotoa...hao wakristo au waislamu na wengine wote Wana dini au hawana?
 
Weka data hapa kuwa hizi nchi watu wake hawaamini MUNGU.

Mfano:

View attachment 2664438

Na hapo data hazijasema kuwa hao 33% wasio na dini hawaamini uwepo wa MUNGU. Maana unaweza ukaamini MUNGU yupo ila usikidhi vigezo vya kuwa muumini wa dini yoyote inayotambulika.
33% is no religion...na huwezi kuwa unaamini Mungu bila dini coz huwezi separate Mungu na dini. Since huwezi prove me wrong hao 33% bado ni asilimia kubwa ya watu wasio na dini compared to nchi za Africa. Na France unaona sio wenzetu kitechnology. So umeprove point yangu
 
Tazama miti, Tazama bahari, Tazama milima, Tazama mabonde, Tazama mito na maji yakikaa katika mkondo wake, Tazama Jua lazama na Jua lachomoza, Tazama mabadiliko ya misimu n.k Je, mpangilio huu uliupanga wewe mtoa mada? Utasema ni nature haya kama ni nature sasa kwanini wewe unakufa? Na kwanini Bahari haikauki? au Jua halizimi? Amini usiamini hivi vyote tuvionavyo yupo alievipangilia.
Okay ukisema hivyo...huyo anayepangilia, anapangiliwa na nani? Just because u don't know something doesn't mean God did it. Ndo maana wenzetu wanaitafiti wanatafuta majibu we unakaa kuhisi ni Mungu.
 
Back
Top Bottom