Nchi zenye dini Zina ugomvi, ufisadi, ubaguzi, wizi, ujambazi, mauaji mengi kuliko nchi zisizo na asilimia kubwa ya watu wenye dini. Watu wengi wamekufa katika jina la Mungu fulani kuliko kwa kitu chochote duniani. Huwezi sema dini inawapa watu maadili wakati inawaambia watu hata wawe jau kivipi wakitubu na kuamini wamesamehewa, huwezi leta mtu mwema hapa ata siku moja. Imagine mahakamani mtu ameua mtoto wako afu judge anampiga mtoto wake na anasema ukiamini ndo kesi imeisha usipoamini kuwa mtoto wake kapigwa kwa ajili ya mtoto wako unaunguzwa milele, unadhani tungekuwa na mahakama. Tumia akili, Kama we haubaki na kuuwa watu kisa moto bac we uende mirembe ukapimwe akili