Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Nimesoma zote, so don't make assumptions, na pia uje na mifano ya kitabu Cha wahindi na story za kigiriki pia ndio nitakuelewa
Vizuri, utakuwa umesoma dini zote lakini sidhani kama umezifahamu, hivyo tafuta walimu wakufunze vizuri ili upate kuzifahamu uzuri.
Mimi si mjuzi wa hizo imani nyingine.
 
1. So kama hujui jibu la rais wa Nicaragua jibu lake atakuwa Mungu mpaka utakapopata jibu?
2. So wewe bila kuwa na dini ambayo inakuambia sheria za Mungu wa dini hiyo, kusingekuwa na sababu ya kutoua na kutoiba? So katiba za nchi zimeweka sheria ili kumfurahisha Mungu na sio kufaidisha watu?
Unachosema ni kuwa imani za dini hazina mchango wowote wa maadili katika jamii.

Maswali mengine hata hayana haja ya kuyajibu.
 
Vizuri, utakuwa umesoma dini zote lakini sidhani kama umezifahamu, hivyo tafuta walimu wakufunze vizuri ili upate kuzifahamu uzuri.
Mimi si mjuzi wa hizo imani nyingine.
Kila mwalimu anatetea kwake ndo ukweli. Na wao wanajua hizi contradictions zipo wanajua havimake sense ndo maana hawakuambii. Ukisoma hivi vitabu mwenyewe ndo utaona, story zao ni zile zile Yesu Mara Musa Mara nani Ila sehemu za Biblia ambazo Zina contradictions kimaadili au kilogic hawazisomi makanisani. So huwezi jua wataishia kukusomea juu juu alafu waombe sadaka yako. Ndo mi staki. Kama Biblia imeletwa ili nisome nitasoma so mtu asinifundishe kusoma kwa sababu aliyeandika hakusema hapa pasomwe hivi na pale pasomwe vile, so mtu hawezi nielekeza jinsi ya kusoma Biblia anavyoelewa yeye. Nitaisoma nikiona Ina makosa nasema Ina makosa naiweka pembeni
 
Huwezi sema Imani na dini ni vitu tofauti kitendo Cha kuamini Mungu yupo ni kutokana na dini kukuambia yupo, ndo maana wewe una dini Fulani, huwezi tenganisha dini na Mungu. Soma general studies form 5 kwenye topic ya philosophy uone religion Ina comprise vitu gani, yaani tatizo elimu tunayo lakini tunasoma tujibu mtihani. Mtu anaelimu Yake ya biology history physics chemistry GS Ila anaamini mapepo na mauchawi wenzetu wanasoma na wanavumbua magari machanjo ndege smartphone internet sisi tunasoma ili tufaulu mtihani tuwe na cheti tuajiriwe ofisini
Unalazimisha mambo. Dini ilifuata baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Imani ya MUNGU haizuii uvumbuzi. Wenzetu hawafanyi uvumbuzi sababu hawaamini MUNGU yupo.
 
Unachosema ni kuwa imani za dini hazina mchango wowote wa maadili katika jamii.

Maswali mengine hata hayana haja ya kuyajibu.
Nchi zenye dini Zina ugomvi, ufisadi, ubaguzi, wizi, ujambazi, mauaji mengi kuliko nchi zisizo na asilimia kubwa ya watu wenye dini. Watu wengi wamekufa katika jina la Mungu fulani kuliko kwa kitu chochote duniani. Huwezi sema dini inawapa watu maadili wakati inawaambia watu hata wawe jau kivipi wakitubu na kuamini wamesamehewa, huwezi leta mtu mwema hapa ata siku moja. Imagine mahakamani mtu ameua mtoto wako afu judge anampiga mtoto wake na anasema ukiamini ndo kesi imeisha usipoamini kuwa mtoto wake kapigwa kwa ajili ya mtoto wako unaunguzwa milele, unadhani tungekuwa na mahakama. Tumia akili, Kama we haubaki na kuuwa watu kisa moto bac we uende mirembe ukapimwe akili
 
Mi sijasema najiamini. Mbona hamjibu hoja. Kama yupo mlete hapa
Huku ndo kupuyanga sasa. Ukiona mtu anamtafuta MUNGU tayari alishaamini yupo. Nilishakuambia, inaanza imani ya uwepo wa MUNGU ndipo inafata dini. Wewe tatizo lako ni nini? Dini au imani ya uwepo wa MUNGU? Ukishasema mlete MUNGU hapa tayari uneingia kwenye dini yangu, nitakuletea MUNGU ninayemfahamu, wewe utamkubali?
 
Ni nchi zipi zilizo na% kubwa ya watu wasio na imani?
 
Unalazimisha mambo. Dini ilifuata baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Imani ya MUNGU haizuii uvumbuzi. Wenzetu hawafanyi uvumbuzi sababu hawaamini MUNGU yupo.
Ukishaamini kuwa Kuna lijitu lipo limakufanyia kila kitu, matokeo yake ni ukiiumwa unaongea ugonjwa upotee ukifa kisa huo ugonjwa unajiaminisha ni mipango ya Hilo lijitu na utaenda kuishi nae mawinguni. Tofauti ya mtu ambae haamini ni kwamba, anajua yeye ndo atatatua matatizo yake hence atengeneza dawa atazuia kufa kwa sababu anajua maisha ndo haya haya
 
Huku ndo kupuyanga sasa. Ukiona mtu anamtafuta MUNGU tayari alishaamini yupo. Nilishakuambia, inaanza imani ya uwepo wa MUNGU ndipo inafata dini. Wewe tatizo lako ni nini? Dini au imani ya uwepo wa MUNGU? Ukishasema mlete MUNGU hapa tayari uneingia kwenye dini yangu, nitakuletea MUNGU ninayemfahamu, wewe utamkubali?
Hivyo ushaprove kwamba dini na Mungu hawawezi kuwa separate, ndo maana nikikuambia umlete Mungu unamleta Mungu wa dini yako. So bila dini yako huyo Mungu hayupo.
 
Ukishaamini kuwa Kuna lijitu lipo limakufanyia kila kitu, matokeo yake ni ukiiumwa unaongea ugonjwa upotee ukifa kisa huo ugonjwa unajiaminisha ni mipango ya Hilo lijitu na utaenda kuishi nae mawinguni. Tofauti ya mtu ambae haamini ni kwamba, anajua yeye ndo atatatua matatizo yake hence atengeneza dawa atazuia kufa kwa sababu anajua maisha ndo haya haya
Hapa unaongelea dini fulani na unalazimisha kuwa kila anayeamini katika uwepo wa MUNGU anafanya mambo katika misingi ya dini hiyo. Aliyekuambia kuwa wenye imani ya uwepo wa MUNGU wote huamini kuwa watafanyiwa kila kitu na MUNGU ni nani?
 
So huyo Mungu kazi yake Nini? Na unamwamini kwa Nini?
 
Hivyo ushaprove kwamba dini na Mungu hawawezi kuwa separate, ndo maana nikikuambia umlete Mungu unamleta Mungu wa dini yako. So bila dini yako huyo Mungu hayupo.
Aisee unashida sana kuelewa.

Nimekuambia, dini ni matokeo ya imani ya uwepo wa MUNGU. Kuna kimoja kinaanza kingine kinafata. Hapo huelewi nini?

Wakiitwa watu wanaoamini uwepo wa MUNGU watatoka wakristo, waislamu na wengine wote. Ila wakiitwa wanaoamini MUNGU wa biblia watatoka wakristo. Hivi hapa huelewi kweli tofauti ya dini na imani ya uwepo wa MUNGU? Au wewe ni mbishi kiasili? Yaani lazima ubishe.
 
Sweden, Norway, Denmark, France, estonia
Weka data hapa kuwa hizi nchi watu wake hawaamini MUNGU.

Mfano:

Screenshot_20230621-163906_Chrome.jpg

Na hapo data hazijasema kuwa hao 33% wasio na dini hawaamini uwepo wa MUNGU. Maana unaweza ukaamini MUNGU yupo ila usikidhi vigezo vya kuwa muumini wa dini yoyote inayotambulika.
 
Tazama miti, Tazama bahari, Tazama milima, Tazama mabonde, Tazama mito na maji yakikaa katika mkondo wake, Tazama Jua lazama na Jua lachomoza, Tazama mabadiliko ya misimu n.k Je, mpangilio huu uliupanga wewe mtoa mada? Utasema ni nature haya kama ni nature sasa kwanini wewe unakufa? Na kwanini Bahari haikauki? au Jua halizimi? Amini usiamini hivi vyote tuvionavyo yupo alievipangilia.
 
Nimekuuliza kama ushahitimisha kwa kusema kuwa hakuna Mungu sasa kuondoa hizo contradictions kutafanya Mungu awepo?
Ukiweza kuziondoa, kimantiki, kwa namna isiyopingika, utakuwa umevunja msingi wangu wa kukataa kuwepo kwa Mungu huyo na kuweza kunifanya nisogee kwenye kukubali uwepo wake.

Lakini hujavunja contradictions hizo, huwezi kufanya hivyo, kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Mimi sina tatizo na Mungu huyo kuwepo, in fact nitafurahi akiwepo.

Lakini, ukweli ni kwamba hayupo, na siwezi kujidanganya kwamba yupo kwa sababu ni hadithi nzuri tu.

Kama unabisha, ondoa contradictions hizo.
 
Ye si mungu lakini....kwa Nini Mungu mmoja lakini dini 20k, Kuna miungu mingine huiabudu kwa Nini huamini kina Krishna na Zeus unaamini Yahweh na Allah. Una kigezo kipi Cha kuamini Mungu wa uarabuni na uyahudi na sio wa kabila lako
Nikwasababu huyu yawe ameumba ulimwengu kwan hujui imani yao msingi ni nini?, na pia ndugu yangu hawa watu wanaamini kile chazo cha yote haya ambacho wamekipa jina Mungu nasio vinginevyo sasa kama we we unaweza kuwapinga wapinge kwa kuwaambia kwamba huu ulimwengu haujaumbwa na kile wanachokiabudu waoneshe chazo au wafundishe chazo cha ulimwengu huu baaaasi utakua umemaliza utata nao.
 
Tatizo wewe umekariri na umeshikilia huo msimamo kwa kukariri tu kuwa hakuna uchawi, hapo mkuu hauna unachoweza kuelezea kuonyesha hakuna hicho kinachoitwa uchawi zaidi ya kukimbilia kutaka nithibitishe kama uchawi upo. Kama ambavyo mnavyosema kuwa afrika ndio kuna imani sana za uchawi ila nikikuuliza hapo ni matukio mangapi yenye kuhusishwa na uchawi umewahi kukutana nayo na ukayafuatilia na kugundua haikuwa uchawi kama ilivyoaminiwa?sidhani kama umewahi kufanya hivyo.
Uchawi upo ila kwa imani, labda kama haujui maana ya uchawi.
Yaani ni imani isiyo na vitendo halisi imebakia stories Tu minaweza kusema uchawi ilikuwa story za mababu kuwadanganyia watoto wao ila hawakujua wanajenga kitu gani ndani ya mioyo yao.
 
Back
Top Bottom