Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Mapepe unayo wewe.

Mimi nakwambia Rais Samia ambaye maelezo ya kuwapo kwake yana contradiction, kama vile Rais Samia ambaye hapo hapo ni mwanamme na mwanamke, au ambaye kwa wakati mmoja yupo Dar na Dodoma, hayupo.

Halafu wewe unaniuliza kuhusu Rais Samia amabye maelezo ya kuwapo kwake hayana contradiction.

Umeelewa hata somo wewe?
Nishakuzoea,twende hivyo hivyo unavyotaka kadri ya uelewa wako.

Sasa nikuulize ni nini maana ya kuondoa contradiction kwenye kitu chenye contradiction? Yani kama Rais Samia ambaye ni mwanamke na hapo hapo ni mwanaume inafanya kuwa ni contradiction na kufanya kuwa hayupo Rais Samia huyo je hapo kuondoa hiyo contradiction kuna maana gani?
 
Kuondoa hiyo contradiction kuna maana mbili.

1. Kuonesha na kuthibitisha kwamba mimi nimeelewa vibaya, na inawezekana mtu akawa mwanamme na mwanamke kwa wakati mmoja, au mtu anaweza kuwa Dar na Dodoma kwa wakati mmoja, na rais Samia ni mwanamme na mwanamke kwa wakati mmoja, au yupo Dar na Dodoma physically kwa wakati mmoja, na hivyo hiyo contradiction haipo kiukweli.

2. Kukubali kwamba haiwezekani Rais Samia akawa mwanamme na mwanamke kwa wakati moja, au akawa Dar na Dodoma kwa wakati mmoja, na kwa hivyo, Rais huyo mwenye contradiction hayupo.
 
Sasa hapo kuna tofauti gani ya kuondoa contradiction na kuthibitisha? Maana huwa unataka iondolewe contradictio kwenye dhana ya kuwepo Mungu na kisha kuthibitisha uwepo wake huyo Mungu.
 
Unaweza kuondoa contradiction hata kwenye fictional character ambaye hayupo, kuthibitisha kwamba yupo ni zaidi ya kuondoa contradiction.

Kuondoa contradiction ni kuonesha kuwa inawezekana akawepo, hakuna contradiction inayozuia awepo.

Kuthibitisha yupo ni zaidi ya kuondoa contradiction, ni zaidi ya kuonesha kwamba inawezekana akawepo, ni zaidi ya kuondoa contradiction inayozuia awepo, ni kuonesha kwamba yupo.

Umeelewa?
 
Sasa huwa na maana gani unaposema kuwa siwezi kuondoa contradiction kwa sababu huyo Mungu hayupo?

Kwangu mie hiyo ina tafsiri ya kwamba unajua Mungu hayupo mbali na hizo contradition.
 
Kama Mungu hayupo, hayupo tu. Kuwe na contradiction au kusiwe na contradiction.

Kwa hivyo, Mungu kutokuwepo hakutegemei contradiction.

Lakini, kwangu mimi, kuelewa Mungu hayupo kunakuja kwa kuona hiyo contradiction, bila hiyo contradiction, nisingeelewa kuwa Mungu hayupo.

Ni kama vile, kuna kitabu, kina hadithi. Hadithi ile ipo kwenye kitabu, nikiisoma au nisiisome, hadithi ile ipo.

Lakini, kwangu mimi, ili niijue ile hadithi, inabidi nikisome kitabu, bila kusoma sitaijua hadithi ya kitabu.

Sasa mimi nakwambia kwamba nimeijua hadithi ya kitabu kwa kuisoma, wewe unanibishia, unaniambia nimeijua hadithi ya kitabu bila kuisoma.

Sasa nimeijua vipi hadithi ya kitabu bila kuisoma wakati mimi mwenyewe nimekwambia kuijua hadithi ya kitabu nimeijua kwa kuisoma?

1. Hujaondoa contradiction.
2. Hujathibitisha Mungu yupo
3. 1 na 2 hapo juu ni kwa sababu Mungu hayupo.
4. Kama unabishia 3, kamilisha 1 na 2 hapo juu.
 
Ndio maana nimekuuliza kwanini useme siwezi kuondoa hiyo contradiction kwa sababu hayupo ikiwa hiyo contradiction ndio iliyokufanya useme hayupo? Ilitakiwa uniambie niondoe hiyo contradition ili kuwe na uwezekano wa huyo Mungu kuwepo kwake kisha ikabaki kazi ya kuthibitisha, ila wewe unasema hayupo ndio maana siwezi kuondoa hiyo contradition.

Sasa haueleweki kwamba habari za uwepo wa Mungu kwako ni hadithi tu za kutunga ambazo zina contradiction ndio maana unasema hayupo au si hadithi za kutunga ila ni jambo lenye contradiction ndio maana unasema huyo Mungu hayupo hadi itakapo ondolewa hizo contradiction?
 
Mara ngapi nimeandika kwamba habari za kuwepo Mungu ni hadithi za kutunga na ndiyo maana zina contradiction?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

1. Hujaondoa contradiction.
2. Hujathibitisha Mungu yupo
3. 1 na 2 hapo juu ni kwa sababu Mungu hayupo.
4. Kama unabishia 3, kamilisha 1 na 2 hapo juu.
 
Rekebisha hapo, Mimi sihisi kwamba Mungu yupo ila naamini yupo jinsi wewe uaminivyo kwamba hayupo.... Na hapo unaposema wenzetu wanatafuta majibu mean kwamba kumbe majibu sahihi hawana sasa mbona mnataka kufanya kama Hayupo ndo conclusion?
Sijasema wanatafuta majibu ya mungu kuwepo, nimesema wanatafuta majibu ya maswali magumu ya maisha na wanayapata. Throughout time wazungu wamevumbua vitu vingi ambavyo sisi tulikuwa hatuna majibu na kusema god did it
 
Mara ngapi nimeandika kwamba habari za kuwepo Mungu ni hadithi za kutunga na ndiyo maana zina contradiction?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

1. Hujaondoa contradiction.
2. Hujathibitisha Mungu yupo
3. 1 na 2 hapo juu ni kwa sababu Mungu hayupo.
4. Kama unabishia 3, kamilisha 1 na 2 hapo juu.
Vizuri.

Sasa kwanini unakataa napokwambia kuwa wewe hausemi hakuna Mungu kwa sababu ya hiyo contradictions?

Kwako wewe habari za kuwepo Mungu ni hadithi tu za kutunga ambazo hadithi hizo zina contradiction na si kwamba unapinga uwepo wa Mungu kwa sababu kuna contraditions. Hivyo shida yako si contradiction ndio inayokufanya upinge uwepo wa Mungu bali dhana nzima ya kuwepo Mungu ni hadithi tu kwako, hivyo kuondoa hizo contradition kuna maana ya kuondoa contraditions katika hiyo hadithi ya kutunga.
 
Not necessarily ufate, but uamini kwamba ndo za ukweli
Hujakutana na mtu anayeamini kuwa kuna MUNGU ila haendi kanisani, msikitini, kwenye sinagogi wala sehemu yoyote ya ibada na haamini miiko ya dini yoyote?
 
Kusali unaweza Sali hata nyumbani, so hio sio point,
 
Back
Top Bottom