Mungu Yuko wapi?

Akili zisizo za kawaida zikoje ?
Hujaelewa muktadha wala hali ya swali langu, umelivamia..

Mhusika alidai kuwa kwa akili za kawaida (kwa mujibu wake) ni lazima akubali Mungu yupo.

Sasa swali je kwanini asifikirie nje ya box?

Hali ya swali inamtaka awazue tofauti na anavyodhani.

Unakubali kuna infinity series ?
Nijibu kwanza Infinity series ni nini
 
Mkuu, hivyo ni vitabu vya dini?
We jamaa bhna, umesema maandiko yanaandikwa na mtu hivyo sio ya kuyaamini yaani ukimaanisha bibilia na quran, Sasa mimi nimekuletea vitabu vyenye maandiko ya kuhusu mtu mwenye historia ya kugundua vitu ambavyo hadi sasa tunavitumia na vimeandikwa na watu pia na pia vingine tumechukua kanuni zake tunaziishi na kufunza vizazi na vizazi je, bado unasubutu kusema maandiko yalioandikwa na mtu huyaamini?

Kama unaweza kuamini maandiko yenye historia za wakati ukiwa bado hujazaliwa kuhusu vita vya kwanza vya dunia, Kuhusu kina adolf hitler, Kuhusu kina Dr Livinstone n.k kwanini maandiko yakihama na kumtaja Yesu usiamini?

Acheni unafiki.
 
Hivi upo serious kweli, upo na akili timamu. Nenda kwenye kitabu chochote utaona author, publisher, year of publication, na pia Kuna revised editions. Nenda kwenye Biblia niambie Leviticus imeandikwa na nani na lini na imebadilishwa lini. Ile ni story book sio reference book elewa.
 
Okay. Explain to me mungu kuumba vegetation kabla ya jua, au walioandika walikuwa hawajui photosynthesis, na jua na mwezi ziliumbwa siku ya tatu. Hizo siku mbili zimepitaje?
Ungejua asili ya hivyo vitu kwanza ungepata hoja
 
Vipo vitabu ueleza kuhusu waandishi wa Biblia utapata majibu yako yote.
Nani mwandishi mwaka gani nk
 
You mean kwamba wakina Isaac Newton tumewasoma kwenye maandiko hayohayo na ndo walibuni vitu hadi sasa tunatumia pia ni uwongo?
Newton alibuni gravity?
Newton alibuni motion ya vitu?
 
Wamepata kwamba biblia ni story za kutunga na za uwongo. So mungu wa biblia hawezi kuexist na ndo mungu unayemuamini, ambae hapendi ngono, hapendi watu watafiti ukweli kuhusu vitabu vya uwongo etc
Inaweza ikawa uongo kwako lakini iliyoyaandika yanaishi hata kesho
Mfano sheria za nchi,methali,yaliyotabiriwa kabla nk
 
Inaweza ikawa uongo kwako lakini iliyoyaandika yanaishi hata kesho
Mfano sheria za nchi,methali,yaliyotabiriwa kabla nk
Si ndo maana ukilala na demu ambao sio mke wako unapigwa mawe na mtaa mzima? Sheria za dini ambazo ni sheria ya nchi ni usiuwe na usiibe tu, zingine zote zinaishia makanisani na msikitini kutishia watu watoe sadaka na kufata sheria za waarabu na wayahudi wa kale. Na hizi sheria mbili hata mtoto mdogo anajua ni vibaya kuuwa na kuiba sio lazma atishiwe moto au ahahidiwe mbingu ndo ajue
 
Wamepata kwamba biblia ni story za kutunga na za uwongo. So mungu wa biblia hawezi kuexist na ndo mungu unayemuamini, ambae hapendi ngono, hapendi watu watafiti ukweli kuhusu vitabu vya uwongo etc
Sijazungumzia biblia bali dhana nzima ya Mungu bila kujali kitabu cha dini wala dini, kuna vitabu na dini nyingi sana ila kote kuna dhana ya kuwepo Mungu na ndio nauliza hao wazungu wamefanya utafiti wa kisayansi na kupata majibu?
 
Wewe unazungumzia story ya kutunga na ndio ambayo unadai ina contradition, kwahiyo hata kama hiyo story isingekuwa na contradition bado inabaki kuwa ni story ya kutunga kwa maana si jambo la kweli.

Haiwezi ikawa kwamba zikiondolewa hizo contraditions inafanya hiyo story kuwa ni story halisi badala kuwa story ya kutungwa tu.

Sijui wapi unashindwa kunielewa jambo jepesi kabisa?
 
Mwanasayansi wewe naomba kukuuliza na unifafanulie vyema.

Kisayansi, uhai wa kiumbe hususan binadamu upo wapi ndani ya mwili wake? Je ni nani amewahi kuuona kwa macho? Je uhai huo unapoachana na mwili unaonekana ukiwa nje ya mwili huo?

Passage yako kuhusu Mungu imebase kwenye nadharia na siyo vinginevyo.

Mungu yupo na hayupo mbali nasi hata kidogo. Pumzi yako na ufahamu wako wote ni mali yake hivyo yupo karibu na seuse anaishi ndani yetu. Yupo kila mahali hata kwenye vilindi uvunguni mwa bahari.

Mimi nimemuona Mungu kupitia matendo yake kwangu na hata wakati mwingine nimeuona Utukufu wake angani.

Tunaposema juu au mbingu maana yake ni kuanzia utosi wako kuelekea juu. Hivyo yupo juu, yupo chini, yupo mbele, yupo nyuma, yupo kulia na pia yupo kushoto.....

Ukimuomba kwa kudhamiria hakika atajifunua kwako
 
Sijazungumzia biblia bali dhana nzima ya Mungu bila kujali kitabu cha dini wala dini, kuna vitabu na dini nyingi sana ila kote kuna dhana ya kuwepo Mungu na ndio nauliza hao wazungu wamefanya utafiti wa kisayansi na kupata majibu?
Hawajampata huyo Mungu Wala ushahidi wowote Kama yupo. Wakimpata atakuwepo
 
1. We umeona Mungu mwingine ameona vitu vya kawaida katika nature, ukosaji wako wa maarifa ndo umekufanya uamini ni Mungu na sio vitu vya kawaida tu.
2. Uhai sio Kama Maji, hauwezi kuwekwa kwenye chombo hiki na kupelekwa kile. Uhai ni kama moto wa kiberiti, ukiuwasha ukizima huwezi uwasha Tena bila kutumia moto mwingine.
3. Mtu mawazo yake yote yapo kwenye ubongo, hence ubongo ukifa na mawazo hufa, unakua hujui chochote huoni chochote, na madoctor wameprove hivyo kwa watu wenye matatizo ya ubongo. Watu walioandika hizi story walikuwa wanajua moyo ndo unafikra, roho sijui Nini, ndo maana wakasema hivyo. Ila now tunajua hamna kitu Kama roho na ishakuwa disproven Mara kibao.
4. Kingine acha uwoga. Waliokutishia wanataka sadaka zako na kucontrol maisha yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…