Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Mimi sina haki ya kumdhihaki Mungu.
Wamekutishia kwamba yupo na anaadhibu wasiomuamini, ili waendelee kutawala maisha yako na kuchukua sadaka yako. The concept of hell as fire haijaanza mpaka new testament, why? Why kwenye new testament ndo Mambo ya moto moto, why kina Adam, Noah, Musa, Elijah, hawakuambiwa mambo ya Motoni. Au Mungu alikuwa hajajenga bado.
Hell was made up by christians ili kutishia watu na the concept imeibwa kutoka kwa dini zingine na uislamu nao ukaubeba Kama ilivyo. Watu ukiwaambia Kuna kufa na maisha ya milele, with time as life gets better mtu anaishi mda mrefu kwa raha hataogopa kifo. So wakaona waje na moto wa milele usioisha, ili kumake sure watu wanaogopa na kufata sheria za kikristo/kiislamu, Ila in real sense huo moto ni wa kutungwa tu Kama dini zote na miungu yote
 
Uwoga wako huo ndo unafanya we uombee Mungu akupe gari afu mzungu analitengeneza Hilo gari na wewe unalinunua na anaendelea kua tajiri we unaendelea kumtegemea
Kiukweli sijawahi kupata Imani ya kweli sielewi ni kwanini nashindwa kuelewa niwe wapi mpaka sasa Yani Kila nikijifosi sioni Yale wanayosema yanaonekana kiimani.
 
Wamekutishia kwamba yupo na anaadhibu wasiomuamini, ili waendelee kutawala maisha yako na kuchukua sadaka yako. The concept of hell as fire haijaanza mpaka new testament, why? Why kwenye new testament ndo Mambo ya moto moto, why kina Adam, Noah, Musa, Elijah, hawakuambiwa mambo ya Motoni. Au Mungu alikuwa hajajenga bado.
Hell was made up by christians ili kutishia watu na the concept imeibwa kutoka kwa dini zingine na uislamu nao ukaubeba Kama ilivyo. Watu ukiwaambia Kuna kufa na maisha ya milele, with time as life gets better mtu anaishi mda mrefu kwa raha hataogopa kifo. So wakaona waje na moto wa milele usioisha, ili kumake sure watu wanaogopa na kufata sheria za kikristo/kiislamu, Ila in real sense huo moto ni wa kutungwa tu Kama dini zote na miungu yote
Mungu ni wa wote.
Ni honest and indeed ana hekima tusiyoweza kuifikia hata nukta moja.

Mimi ni maamuzi yangu kutomdhihaki. Ninampenda hakika siwezi kumdhihaki.

Sina hofu
Sina uoga
Nina amani
 
Kiukweli sijawahi kupata Imani ya kweli sielewi ni kwanini nashindwa kuelewa niwe wapi mpaka sasa Yani Kila nikijifosi sioni Yale wanayosema yanaonekana kiimani.
Hamna kitu Kama vitu vya kiimani sijui kiroho ni uwoga na kukosa maarifa, ndo maana wenzetu washaacha haya mambo
 
Mungu ni wa wote.
Ni honest and indeed ana hekima tusiyoweza kuifikia hata nukta moja.

Mimi ni maamuzi yangu kutomdhihaki. Ninampenda hakika siwezi kumdhihaki.

Sina hofu
Sina uoga
Nina amani
Sawa... Basi ukisali Sali kihindi
 
Swali lako halina logic hata kidogo, unapaswa kujua uhai ni nini then ndo tuanze kujadili.

Swali lako ni sawa na mimi nikuulize
kilo moja ya maharage ina urefu wa mita ngapi?
Mungu yupo na hayupo mbali nasi hata kidogo. Pumzi yako na ufahamu wako wote ni mali yake hivyo yupo karibu na seuse anaishi ndani yetu. Yupo kila mahali hata kwenye vilindi uvunguni mwa bahari
Hujaweza kuthibitisha uwepo wake, zaidi unatoa hadithi zake tu.
Acha kuchezea keybord
 
Sayansi haiwezi thibitisha Kila kitu sayansi udili na vinavyoonekana nje ya hapo mfano Roho,ndoto,UFO, Tabia,asili ya kitu, mwisho wa kitu,muunganiko wa Roho, nafsi na mwili haina majibu.
Ni asilimia 10% ya mambo yaliyopo Duniani ndo sayansi imejibu
Thibitisha wewe hiyo Roho kama ipo kweli.
 
Swali lako halina logic hata kidogo, unapaswa kujua uhai ni nini then ndo tuanze kujadili.

Swali lako ni sawa na mimi nikuulize
kilo moja ya maharage ina urefu wa mita ngapi?

Hujaweza kuthibitisha uwepo wake, zaidi unatoa hadithi zake tu.
Acha kuchezea keybord
Inawezekana nachezea ama.sichezei keyboard.

Majibu yasiyo na facts au hata justifications ni mzaha tupu.

Amini usichokiamini.

Naamini ninachokiamini
 
Roho ni pumzi ya Mungu yenye inayoupa uhai mwili.
Mwili bila Roho unaitwa maiti.Mtu ameumbwa na roho,nafsi na mwili.
Roho ndio inaupa uhai mwili
Unaweza thibitisha kuwa roho ndo inampa mtu uhai na sio ubongo au moyo au ini au mapafu au vyote. Maana binadamu hawezi ishi bila hivi vitu, au hivi vitu vyote ndo roho. Hujaprove bado roho ipo au haipo, umeassume tu. Ni sawa mi niseme angalia mbwa ndani yake Kuna Goku mbwa akifa Goku anaondoka, hujaprove chochote kwamba Goku yupo au hayupo. Ukishaprove niambie mbwa ana roho au Hana, na kama anayo nae anaenda mbinguni au motoni na why?
 
Viumbe hai vyote vina roho.ubongo,maini,moyo,Figo hivi ni visaidizi tu na Kila kimoja kina kazi yake tofaut na kingine vyote hivyo vimepewa nguvu ya utendaji na Roho,Roho ikiondoka vyote hivyo usimama kufanya kazi then unakufa.
Huwezi ishi bila Roho.
 
Jibu swali la mbwa usilipotezee naona unarudia shiti tu hapa
 
Inawezekana nachezea ama.sichezei keyboard.

Majibu yasiyo na facts au hata justifications ni mzaha tupu.

Amini usichokiamini.

Naamini ninachokiamini
Ni unachezea keybord tu,

Hujaweza kuthibitisha bado.

Unaulizaje uhai unakaa wapi kwenye mwili?
Wewe embu tuambie uhai unakaa wapi kama unafahamu.
 
Mawazo yangu
Bando yangu.

Punguza dharau.

Twende na hoja mkuu.

Usichukie mimi kumuamini Mungu. Haujanileta duniani wala hauna mamlaka juu ya uwepo wangu.

Ukiona ninachezea keyboard just ignore me mkuu
 
Punguza temper, sijajua kama ingelikufanya uchukie.

Sorry
 
Hamna ushahidi wa kisayansi kwamba Mungu, especially huyo wa kwenye Biblia ambae kitabu chake kina makosa nje ndani, yupo
Kwahiyo hakuna ushahidi wa kisayansi na wakati huo huo hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaofanywa kujua ukweli kwamba Mungu au hayupo?
 
Back
Top Bottom