Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mimi sina haki ya kumdhihaki Mungu.🤣Ni hai Yuko wapi Sasa. Mi simwoni Kama unamwona mlete tupige nae story, sio unajiongelesha na kujiotesha afu unasema yu hai..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina haki ya kumdhihaki Mungu.🤣Ni hai Yuko wapi Sasa. Mi simwoni Kama unamwona mlete tupige nae story, sio unajiongelesha na kujiotesha afu unasema yu hai..
Wamekutishia kwamba yupo na anaadhibu wasiomuamini, ili waendelee kutawala maisha yako na kuchukua sadaka yako. The concept of hell as fire haijaanza mpaka new testament, why? Why kwenye new testament ndo Mambo ya moto moto, why kina Adam, Noah, Musa, Elijah, hawakuambiwa mambo ya Motoni. Au Mungu alikuwa hajajenga bado.Mimi sina haki ya kumdhihaki Mungu.
Kiukweli sijawahi kupata Imani ya kweli sielewi ni kwanini nashindwa kuelewa niwe wapi mpaka sasa Yani Kila nikijifosi sioni Yale wanayosema yanaonekana kiimani.Uwoga wako huo ndo unafanya we uombee Mungu akupe gari afu mzungu analitengeneza Hilo gari na wewe unalinunua na anaendelea kua tajiri we unaendelea kumtegemea
Mungu ni wa wote.Wamekutishia kwamba yupo na anaadhibu wasiomuamini, ili waendelee kutawala maisha yako na kuchukua sadaka yako. The concept of hell as fire haijaanza mpaka new testament, why? Why kwenye new testament ndo Mambo ya moto moto, why kina Adam, Noah, Musa, Elijah, hawakuambiwa mambo ya Motoni. Au Mungu alikuwa hajajenga bado.
Hell was made up by christians ili kutishia watu na the concept imeibwa kutoka kwa dini zingine na uislamu nao ukaubeba Kama ilivyo. Watu ukiwaambia Kuna kufa na maisha ya milele, with time as life gets better mtu anaishi mda mrefu kwa raha hataogopa kifo. So wakaona waje na moto wa milele usioisha, ili kumake sure watu wanaogopa na kufata sheria za kikristo/kiislamu, Ila in real sense huo moto ni wa kutungwa tu Kama dini zote na miungu yote
Hamna kitu Kama vitu vya kiimani sijui kiroho ni uwoga na kukosa maarifa, ndo maana wenzetu washaacha haya mamboKiukweli sijawahi kupata Imani ya kweli sielewi ni kwanini nashindwa kuelewa niwe wapi mpaka sasa Yani Kila nikijifosi sioni Yale wanayosema yanaonekana kiimani.
Sawa... Basi ukisali Sali kihindiMungu ni wa wote.
Ni honest and indeed ana hekima tusiyoweza kuifikia hata nukta moja.
Mimi ni maamuzi yangu kutomdhihaki. Ninampenda hakika siwezi kumdhihaki.
Sina hofu
Sina uoga
Nina amani
Unauhakika na unachokisema?Bible haina contradiction bali contradiction ni mawazo ya msomaji......
Hujaweza kuthibitisha uwepo wake, zaidi unatoa hadithi zake tu.Mungu yupo na hayupo mbali nasi hata kidogo. Pumzi yako na ufahamu wako wote ni mali yake hivyo yupo karibu na seuse anaishi ndani yetu. Yupo kila mahali hata kwenye vilindi uvunguni mwa bahari
Thibitisha wewe hiyo Roho kama ipo kweli.Sayansi haiwezi thibitisha Kila kitu sayansi udili na vinavyoonekana nje ya hapo mfano Roho,ndoto,UFO, Tabia,asili ya kitu, mwisho wa kitu,muunganiko wa Roho, nafsi na mwili haina majibu.
Ni asilimia 10% ya mambo yaliyopo Duniani ndo sayansi imejibu
Inawezekana nachezea ama.sichezei keyboard.Swali lako halina logic hata kidogo, unapaswa kujua uhai ni nini then ndo tuanze kujadili.
Swali lako ni sawa na mimi nikuulize
kilo moja ya maharage ina urefu wa mita ngapi?
Hujaweza kuthibitisha uwepo wake, zaidi unatoa hadithi zake tu.
Acha kuchezea keybord
😂🤣Kashindwa kuja na hoja mtu mzimaInawezekana nachezea ama.sichezei keyboard.
Majibu yasiyo na facts au hata justifications ni mzaha tupu.
Amini usichokiamini.
Naamini ninachokiamini
Thibitisha wewe hiyo Roho kama ipo kweli.
Roho ni pumzi ya Mungu yenye inayoupa uhai mwili.Thibitisha wewe hiyo Roho kama ipo kweli.
Unaweza thibitisha kuwa roho ndo inampa mtu uhai na sio ubongo au moyo au ini au mapafu au vyote. Maana binadamu hawezi ishi bila hivi vitu, au hivi vitu vyote ndo roho. Hujaprove bado roho ipo au haipo, umeassume tu. Ni sawa mi niseme angalia mbwa ndani yake Kuna Goku mbwa akifa Goku anaondoka, hujaprove chochote kwamba Goku yupo au hayupo. Ukishaprove niambie mbwa ana roho au Hana, na kama anayo nae anaenda mbinguni au motoni na why?Roho ni pumzi ya Mungu yenye inayoupa uhai mwili.
Mwili bila Roho unaitwa maiti.Mtu ameumbwa na roho,nafsi na mwili.
Roho ndio inaupa uhai mwili
Viumbe hai vyote vina roho.ubongo,maini,moyo,Figo hivi ni visaidizi tu na Kila kimoja kina kazi yake tofaut na kingine vyote hivyo vimepewa nguvu ya utendaji na Roho,Roho ikiondoka vyote hivyo usimama kufanya kazi then unakufa.Unaweza thibitisha kuwa roho ndo inampa mtu uhai na sio ubongo au moyo au ini au mapafu au vyote. Maana binadamu hawezi ishi bila hivi vitu, au hivi vitu vyote ndo roho. Hujaprove bado roho ipo au haipo, umeassume tu. Ni sawa mi niseme angalia mbwa ndani yake Kuna Goku mbwa akifa Goku anaondoka, hujaprove chochote kwamba Goku yupo au hayupo. Ukishaprove niambie mbwa ana roho au Hana, na kama anayo nae anaenda mbinguni au motoni na why?
Jibu swali la mbwa usilipotezee naona unarudia shiti tu hapaViumbe hai vyote vina roho.ubongo,maini,moyo,Figo hivi ni visaidizi tu na Kila kimoja kina kazi yake tofaut na kingine vyote hivyo vimepewa nguvu ya utendaji na Roho,Roho ikiondoka vyote hivyo usimama kufanya kazi then unakufa.
Huwezi ishi bila Roho.
Ni unachezea keybord tu,Inawezekana nachezea ama.sichezei keyboard.
Majibu yasiyo na facts au hata justifications ni mzaha tupu.
Amini usichokiamini.
Naamini ninachokiamini
Mawazo yanguNi unachezea keybord tu,
Hujaweza kuthibitisha bado.
Unaulizaje uhai unakaa wapi kwenye mwili?
Wewe embu tuambie uhai unakaa wapi kama unafahamu.
Punguza temper, sijajua kama ingelikufanya uchukie.Mawazo yangu
Bando yangu.
Punguza dharau.
Twende na hoja mkuu.
Usichukie mimi kumuamini Mungu. Haujanileta duniani wala hauna mamlaka juu ya uwepo wangu.
Ukiona ninachezea keyboard just ignore me mkuu
Kwahiyo hakuna ushahidi wa kisayansi na wakati huo huo hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaofanywa kujua ukweli kwamba Mungu au hayupo?Hamna ushahidi wa kisayansi kwamba Mungu, especially huyo wa kwenye Biblia ambae kitabu chake kina makosa nje ndani, yupo