Mungu Yuko wapi?

Watu Kama mimi na wewe. Tena hawajulikani hata. Niambie Marko kaandika nani ..na kwa taarifa yako haijulikani Kama unabisha kasearch umtafute mwandishi. Halafu uje uniambie mwanzo kaandika nani. Na sio Musa.
Nimekuuliz nani aliyeandika.
Hiyo taarifa nani kaitaka ?
 
Tatizo lako una soma Biblia kama story book.

Biblia ni kitabu kilichokamilika tena kwa matukio mengi haswa..Jibu lako lipo kitabu cha Mathayo 1:1-17
Biblia inasema kwamba mpende adui yako

Je hilo wakristo mnalitekeleza?

Naanza na wewe kukuuliza, je unalitekeleza hilo andiko?
 
Wapi pamekuchanganya hapo. hakuna ujanga wowote hapo ni kuelimishana
Hizi ni reference za kuonesha Mungu yupo au mnamabishano yenu binafsi ambayo mi sijayaelewa yanahusu nini?
 
Kabla hujanipeleka kwenye kujua kipi kilianza na kipi kilifuata, kwanza nataka kujua authenticity ya hivyo vitabu kuonesha kweli viliandikwa na Mungu na sio janja janja zilizokuwa invented na watu kwa maslahi yao
 
Ubongo una imperfections nyingi ambazo zinathibitisha kuwa ulikuwa designed na master brain.

Hata huyo aliyetoa hilo wazo ni matokeo ya taarifa za uongo zilizosababishwa na wrong interpretation kwenye ubongo wake.
Hivi tafsiri ya wrong unapohusisha ubongo ni nn?

Mfano 1. object rangi yake halisi ni ipi? Sisi ndo tunapachika rangi au object ndo ina rangi? Wenye tatizo la colour blindness wanatoa wapi rangi ambazo tusio na tatizo hatuzioni? Endapo tungeona wanachoona tungesema wapo wrong? Au wrong ni uhalali wa ufanano wa wengi kwamba haijalishi ni ipi tafsiri yake?

Mfano 2. Unapoota unatumbukia shimoni, wakati wa ndoto ubongo wako upo wright au wrong? Kama upo wrong kwanini unafeel so wright? Usipoamka ukaendelea na ndoto uhalisia utakuwa ni upi?
 
Illusion

Ubongo sio wa kuaminika mara zote, unaweza kukupa fake informations ambazo zinapingana na reality
 
Kabla hujanipeleka kwenye kujua kipi kilianza na kipi kilifuata, kwanza nataka kujua authenticity ya hivyo vitabu kuonesha kweli viliandikwa na Mungu na sio janja janja zilizokuwa invented na watu kwa maslahi yao

Hata ukiletewa authenticity utabisha ndo mana watu ni rahisi kwenda kwa mganga tofauti na aliyemuumba kwa jinsi akili na ufahamu ulivyokuwa programmed toka anakuwa.
 
Haya, huko kwenye first law ndipo utakapokwenda utakapokufa.
 
Illusion

Ubongo sio wa kuaminika mara zote, unaweza kukupa fake informations ambazo zinapingana na reality
Okey' Fake ni nn? Ndoto ni illussion?
 
Hata ukiletewa authenticity utabisha ndo mana watu ni rahisi kwenda kwa mganga tofauti na aliyemuumba kwa jinsi akili na ufahamu ulivyokuwa programmed toka anakuwa.
Ukishaanza kutanguliza utabiri mbele maana yake ushaupima huo unaouita uthibitisho ukaona kuna loop holes kibao ambazo zina contradict logic.
 
Ukishaanza kutanguliza utabiri mbele maana yake ushaupima huo unaouita uthibitisho ukaona kuna loop holes kibao ambazo zina contradict logic.

Ishu sio utabiri ishu ni ufahamu wako umeuweka wapi so hata nikufafanulia vipi kama huamini Muumba yupo hutokubali.

Majira zilizopita imeonyesha wazi kuwa ukiwa mnyenyekevu kwa muumba ulikuwa unaweza kuona hata miaka 2,000 mbele au nyuma kama alivyoandika Mussa kitabu cha Mwanzo na kutoka au Isaya ujio wa nabii yesu au Yohana katika kisiwa cha patmo.
 
Na mimi nimeomba uthibitisho kwakua najua imani sio kitu muhimu kwenye kuupata ukweli.

Imani ingekuwa ukweli basi leo hii kungekuwa na dini moja yenye kuamini Mungu mmoja tu.

Since kuna lundo la imani tena zinazopingana zenyewe kwa zenyewe hiyo inanipa tafsiri kwamba imani sio njia sahihi kujua ukweli wa jambo.
 

Exactly ndo maana mimi siongelei imani kwa sababu kwa imani hutapata ukweli hata punje ndo mana na kwambia Muumba sio wa imani fulani wala fulani bali ni wa wale watendao kwa haki bila kujali imani maana imani ni utengano.
 
Sasa ndoto ni reality?
What is reality?

Umeshawahi kuota unafanya ngono ukachafua boxer? How real was it?

Au ushawahi ota unakimbizwa na ukashtuka hadi jasho linakutoka? How fake was it?

Tukiweka assumption kuwa usiamke, utapima vipi kuwa ndoto unayoota haikuwa real?
 
PUNGUZENI vitisho.
Toeni hoja = ELIMISHENI.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…