Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Nimekuuliz nani aliyeandika.Watu Kama mimi na wewe. Tena hawajulikani hata. Niambie Marko kaandika nani ..na kwa taarifa yako haijulikani Kama unabisha kasearch umtafute mwandishi. Halafu uje uniambie mwanzo kaandika nani. Na sio Musa.
Hiyo taarifa nani kaitaka ?