Mungu Yuko wapi?

Exactly ndo maana mimi siongelei imani kwa sababu kwa imani hutapata ukweli hata punje ndo mana na kwambia Muumba sio wa imani fulani wala fulani bali ni wa wale watendao kwa haki bila kujali imani maana imani ni utengano.
Ndio unithibitishie sasa kuwa yupo, sio unaniletea porojo za kutaka nianze kuamini

Unaweza kuthibitisha?
 
What is reality?

Umeshawahi kuota unafanya ngono ukachafua boxer? How real was it?

Au ushawahi ota unakimbizwa na ukashtuka hadi jasho linakutoka? How fake was it?

Tukiweka assumption kuwa usiamke, utapima vipi kuwa ndoto unayoota haikuwa real?
Kuota unafanya ngono ukaamka ume ejaculate hiyo ndio uhalisia kwamba ulikuwa unafanya ngono?

Jasho kutoka ndio uhalisia kwamba kweli ulichokiota kuwa unakimbizwa, ulikuwa unakimbizwa kweli?
 
Ndio unithibitishie sasa kuwa yupo, sio unaniletea porojo za kutaka nianze kuamini

Unaweza kuthibitisha?

Unataka uthibitisho gani labda, maana kutaka uthibitisho kuna mawili moja kukubaliana na kweli mbili kupinga ili uonekane unahoja.

Shetani wengi wanajua yupo lakini haonekani kwamacho ila kupitia matendo ya mtu utajua, Je unafikiri Muumba anaonekana kwa macho kwa akilizako tu za kawaida!???
 
Kuota unafanya ngono ukaamka ume ejaculate hiyo ndio uhalisia kwamba ulikuwa unafanya ngono?

Jasho kutoka ndio uhalisia kwamba kweli ulichokiota kuwa unakimbizwa, ulikuwa unakimbizwa kweli?
Kwa tafsiri yako wewe scars, Uhalisia ni nn?
 
Ingekua jambo la busara umjibu mtoa mada na si kumtisha . Kama majibu yapo mpe ili asikufuru tena
 
Naona umeassume dini zipo mbili dunia nzima. Ndo maana we mtanzania, soma dini zote za dunia ndo urudi sawa. Anza na uyahudi ndo dini mama wa uislam na ukristo
 
Ushawahi msikia mpagani anaogopa kwamba akifa huko aendako anaenda kuchomwa Moto na kupewa mateso yasiyovumilika ?
Soma definition ya pagan, pagan ni mtu ambae anaamini dini nyingini, ndo maana wanaita pagan religions, atheist Ni mtu ambae haamini Mungu. Bongo mnamistranslate vitu, Mpagani sio mtu ambae hana dini, ni mtu ambae anaamini dini tofauti na iliyokubalika
 
Wapi pamekuchanganya hapo. hakuna ujanga wowote hapo ni kuelimishana
Baba ake Joseph ni Jacob au heli. Na mbona Kuna majina tofauti kwenye shina lake na most importantly why wanafata family tree ya Joseph wakati kazaliwa kwa Mary tu bila mbegu ya Joseph...au lazma wafate ya baba coz kipindi hicho wanawake hawakuwa supawoman?
 
Hakuna ambaye haabudu chochote yaani wapagani kama wanavyoitwa,ndo maana ikaandikwa hazina ya mtu ilipo ndipo na moyo wake ulipo.

So kama unaabudu sana hela basi huyo ndo mungu wako maana hela ni Roho.
Hamna mtu anaabudu hela, Kama Kuna mtu anaabudu hela basi we unaabudu njaa. Eleweni maana ya kuabudu kwanza.
 
Kila tamaduni Ina Mungu wake. Umewajua wa kiislamu na kiyahudi kwa sababu ya utumwa na ukoloni, tungetawaliwa na wahindi tungekuwa wahindu tunaabudu masanamu. Hamna Mungu wa ukweli
 
Ukikaa kwenye kituo cha dini sijui ukristo na uislam au dini yeyote hutamwelewa aliyeumba maana yeye hana dini wala dhehebu. Na aliyeumba yeye hajaumbwa bali yeye ndo CHANZO HALISI (Real Source) wa kila kitu.
Basi na ulimwengu hujaumbwa...ni chanzo halisi. Nipe good argument sio assumption.
 
Hiyo dini inaitwa judaism, au uyahudi. Ndo maana nakuambia upo bongo unajua dini mbili tu duniani wakati zipo zaidi ya 10000. Kila mmoja na Mungu wake na sheria zake.
 
Hapo ndo wengi akili zilipoaminishwa kwamba ni DINI,Lakini hata Ibrahimu mwenyewe hakuwa na DINI wala adamu lakini utakuta kwa wakristo na waislam na dini zengine.
Adam hakuwa na dini kwa sababu Adam hakuwepo. Na the story of creation katika bustani mwanaume na mwanamke na nyoka na Nini imeibwa kutoka story za zamani za dini zingine. Dini zinaibiana story, hata ya Noah hivyo hivyo.
 
Hahaha acha uwoga wa maisha na uvivu wa kufikiri. Walisema mvua Ni madirisha ya mbinguni kufunguliwa, Leo hii unajua mvua Ni Nini..unajua vitu vingi havitokei kimiujiza. Swala la kutojua mwanzo lisikufanye uishi kwenye story za mababu wa kale wa jangwani ambao hawakujua Jua linaenda wapi usiku. Huyu Mungu ambaye unasema ameumba yote kaumbwa na nani...Kama una assume alikuwepo tu, then kwa Nini usiassume ulimwengu kuwepo tu...Kama unasema ulimwengu ni mkubwa unahitaji muumbaji, na huyo muumbaji atakuwa ana uwezo na akili Sana kiasi kwamba anahitaji kitu kilichomuumba pia...the cycle continues .hence infinite regress. Acha utumwa wa fikra, waliokuletea(wazungu) wametumia kukutawala na ujinga na wameendelea wameacha, Leo hii tunawaita mashetani. Hivi Leo hii mtu akufundishe kupika ili akufanye aumwe je atapika chakula hicho hicho ale? Hizi story zilikuwa Zina wakati wake, saa hivi dunia imeendelea ndo maana wenzetu wanajenga viwanda si tunajenga makanisa.
 
Ulimwengu wa Giza ni upi? Upo wapi? Una ushahidi Kama upo? Kama huna kwa Nini huamini tembo wanaopaa usiku Ila unaamini hayo madude
 
Nimekuuliz nani aliyeandika.
Hiyo taarifa nani kaitaka ?
We Kuna kitabu Cha shule au Cha maarifa ambacho hakijaandikwa author's name na year of publication.. ? If yes why Biblia yako haijulikani imeandikwa Lini na nani na vitabu vimeandikwa na watu tofauti vipindi tofauti, imebadilishwa Mara kwa Mara na watawala husika kwa ajili ya kutawala watu mpaka imefikia kwako. Sio kitabu kizuri hakijaandikwa vizuri na hakijasambazwa vizuri. So Kama umeamua kukubali kisa mkoloni alikufundusha ili achukue dhahabu yako sawa.
 
Vitabu vya mwanzo ni vya dini ya Hinduism ambayo zipo za 3000BC so kusema Biblia ni ya kwanza ni uwongo. Kulikuwa na maandiko ya dini za Persia, ugiriki, Norse, na zingine kabla ya uyahudi na ukristo. So hoja yako sio kweli. Sema ni kitabu Cha kwanza Kati ya viwili unavyoviona bongo. Usiseme uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…