Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ndio unithibitishie sasa kuwa yupo, sio unaniletea porojo za kutaka nianze kuaminiExactly ndo maana mimi siongelei imani kwa sababu kwa imani hutapata ukweli hata punje ndo mana na kwambia Muumba sio wa imani fulani wala fulani bali ni wa wale watendao kwa haki bila kujali imani maana imani ni utengano.
Unaweza kuthibitisha?