Mungu Yuko wapi?

Hata ukiletewa authenticity utabisha ndo mana watu ni rahisi kwenda kwa mganga tofauti na aliyemuumba kwa jinsi akili na ufahamu ulivyokuwa programmed toka anakuwa.
Mganga nae Hana tofauti na mchungaji, wote wanatumia uongo kukutapeli.
 
So unaamini Kuna dragon atakuja kupiga nyota angani na mkia wake alafu zitaanguka Kama mawe.
 
Exactly ndo maana mimi siongelei imani kwa sababu kwa imani hutapata ukweli hata punje ndo mana na kwambia Muumba sio wa imani fulani wala fulani bali ni wa wale watendao kwa haki bila kujali imani maana imani ni utengano.
We umeamua kuchagua Biblia out of all books in the world kuhusu Mungu. Why? Nipe sababu nje ya ukoloni, kuzaliwa katika ukristo, kudanganya na mchungaji mponyaji, etc. Why umechagua Biblia umeacha zingine. Kama ishu Ni ya kwanza sio kweli Kuna dini zenye maandiko kabla ya Biblia, so nipe sababu ya msingi
 
Shetani ni wewe na Mungu Ni wewe. Coz hata kwenye Biblia yako hamna kosa ambalo shetani kafanya, hamna sheria ambayo kavunja, Mungu kaua watu million huko shetani kauwa 10 tu na kwa ruhusa ya Mungu.
 
Biblia inasema kwamba mpende adui yako

Je hilo wakristo mnalitekeleza?

Naanza na wewe kukuuliza, je unalitekeleza hilo andiko?
Ndiyo, huwa nachukulia adui yangu ndiye huniongezea hali ya kujibidiisha zaidi, kimawazo na kiutendaji.

Napenda sana kuwasamehe ili siku moja waone wema wa Muumba juu yangu
 
Tatizo unauliza swali na kujijibu, ila nadhani unaelewa unachouliza.
 
Ujuaji mwingi braza.
Hivyo vitabu vya shule vilivyo andika una uhakika hao ndio wamiliki halali wa concepts na precepts hizo ndani ya hivyo vitabu.
Vitabu unavyoviona uandishi wake hauna tofauti mana uandishi mmoja vyanzo vya taarifa tofauti... Hujaliona hilo ?
 
Unamuabudu kakuambia umuabudu au mwarabu/myahudi/mrumi kakuambia umuabudu ili achukue hela zako na aendeshe maisha yako na anatumia story za Mungu Kama kivuli na kukuambia usiulize maswali utaunguzwa na we unakubali ka mtoto muoga
systems za dunia zilivo zinaonyesha kuwa yupo architect mkuu(mungu) , jua inachomoza inatua in perfect order, the air , life zote hizi ni ishara ya kuwepo kwake mungu,sihitaji mwarabu au myahudi kunidhihirishia bali ni imani yangu
 
Kukubaliana ni hatua ya mbele inayofuata baada ya kupewa uthibitisho

Huwezi kutanguliza kukubaliana kuanze kabla hatujaona huo uthibitisho

Thibitisha Mungu yupo
 
Ndiyo, huwa nachukulia adui yangu ndiye huniongezea hali ya kujibidiisha zaidi, kimawazo na kiutendaji.

Napenda sana kuwasamehe ili siku moja waone wema wa Muumba juu yangu
Kwa hiyo maadui zako unawapenda?
 
Hivi huu msimamo wa kwamba "hakuna Mungu" umejengwa kwenye msingi gani? Yani kipi kinabeba huu msimamo na kufanya kuwa ni uhakika kuwa Munguni hayupo tu na si vinginevyo?
 
Kukubaliana ni hatua ya mbele inayofuata baada ya kupewa uthibitisho

Huwezi kutanguliza kukubaliana kuanze kabla hatujaona huo uthibitisho

Thibitisha Mungu yupo
Unataka uthibitishiwe kuwa yupo wapi?
 
Nitakujibu kulingana na kitabu cha mwanzo
Mwanzo 1-2:3
Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Mungu ni roho fulani ambayo ilitokea majini kulingana na andiko ilo Wanakuambia Maji yalikuwepo kabla ya Mungu
Alicho kifanya roho hiyo akatenganisha Maji Yale katikati kukapatikana anga
 
Ukweli ni kwamba, hakuna mtu anayeelewa Biblia wala qurani,

Ni vitabu ambavyoo kwa kweli siyo mantiki tu hata sarufi kama hazijatulia hvi.

Ila kwavile unavipenda na kuviamini tangu utotoni, ni kama Music tu, usipoelewa unatembea na beat
 
Naona umeassume dini zipo mbili dunia nzima. Ndo maana we mtanzania, soma dini zote za dunia ndo urudi sawa. Anza na uyahudi ndo dini mama wa uislam na ukristo

Sijaassume zipo mbili najua zipo nyingi sana nmetaja izo kwakuw ndo zinajulikana na wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…