Mungu Yuko wapi?

Kila tamaduni Ina Mungu wake. Umewajua wa kiislamu na kiyahudi kwa sababu ya utumwa na ukoloni, tungetawaliwa na wahindi tungekuwa wahindu tunaabudu masanamu. Hamna Mungu wa ukweli

Miungu ipo mingi kutokana na mambo mbalimbali ila aliyeumba ni MMOJA.
 
Basi na ulimwengu hujaumbwa...ni chanzo halisi. Nipe good argument sio assumption.

Muumba hakuumba ulimwengu wala dunia bali mbingu na nchi Mwanzo 1:1. Na ukitaka uelewe zaidi dunia na ulimwengu sio ili umbo unaloona bali ni mfumo unaotawala watu na vitu.
 
Hiyo dini inaitwa judaism, au uyahudi. Ndo maana nakuambia upo bongo unajua dini mbili tu duniani wakati zipo zaidi ya 10000. Kila mmoja na Mungu wake na sheria zake.

Unasema judaism sababu ndicho ulichokuta kwenye vitabu na article mbalimbali ukaaminishwa hivyo.Najua Dini zipo nyingi sana lakini zote izo hazikupi kweli bali utengano kiimani.
 
Hizi story za kumuambia mtoto ili asiwe anaiba pipi Ila sio mimi. Nenda kasome biology nervous system form 2 alafu urudi.
bro ni heri ukae kmy Uwepo wa Mungu unathibitika na sio mpk yakukute ndo uamin wapo waliokufulu yakawakuta makubwa na ww ni swala la mda tu. so you better shut your mouth
 
Ulimwengu wa Giza ni upi? Upo wapi? Una ushahidi Kama upo? Kama huna kwa Nini huamini tembo wanaopaa usiku Ila unaamini hayo madude

Kama hujui zipo falme na mamlaka za giza ambazo zinatumia watu hawa hawa unaowaona, hata nikifafanua hutaelewa.
 

Hivyo ndo unavyojua kwa kugoogle lakini Kweli itabaki kweli.
 

Nakupa sababu moja tu ya msingi out of all books KITABU ndo kimetumika na kilitumika kuweka maagano ya siri mengi sana dhidi ya atendaye kwa haki.

Hivyo sio KITABU tu cha kawaida cha story kama wengi wanavyoamini na kujua.

Na mimi nakiita KITABU sio biblia kwakuwa hayo maandiko yako kwenye sehemu nyingi sana.
 
Shetani ni wewe na Mungu Ni wewe. Coz hata kwenye Biblia yako hamna kosa ambalo shetani kafanya, hamna sheria ambayo kavunja, Mungu kaua watu million huko shetani kauwa 10 tu na kwa ruhusa ya Mungu.

Hujasoma kitabu vizuri rudi kasome, akili za wengi zimeaminishwa na dunia na ulimwengu kuwa MUUMBA ndo anaua watu.

KERUBI aliyekuwa malaika wa sifa kabla ya kuasi ukisoma Isaya 14:13-15 utakuta kwanini alitupwa chini.
 
Yes indeed

Tena zimetoka maeneo ya Mesopotamia huko Iraq ya leo.
Jamii za kule zilianza kuja na hekaya hzo za uumbaji na gharika
 
Mi najua Mungu yupo, ila kwa hizi hoja zako nasimama na wewe
 
Mungu ana hasira na kijiumbe ambacho ni kama kipunje cha vumbi ukilinganisha na matrilioni ya magalax.wazungu na waarabu kweli walituona maboya
 
Lakini ukinunua gazeti ukisoma si unalielewa bila mtafsiri. Lakini unahitaji mtafsiri akusomee Biblia. Acheni uoga Biblia sio neno la Mungu ni neno la walimtunga Mungu ndo maana kila kukicha utaskia dhehebu linatokea kwa sababu ni kitabu Kama Malaya kinatafsiriwa kivyovyote vile coz hakijaandikwa vizuri.
 
systems za dunia zilivo zinaonyesha kuwa yupo architect mkuu(mungu) , jua inachomoza inatua in perfect order, the air , life zote hizi ni ishara ya kuwepo kwake mungu,sihitaji mwarabu au myahudi kunidhihirishia bali ni imani yangu
Huyo Mungu nae si perfect katengenezwa na nani?
 
Mungu ana hasira na kijiumbe ambacho ni kama kipunje cha vumbi ukilinganisha na matrilioni ya magalax.wazungu na waarabu kweli walituona maboya
Shida dini zinamweka binadamu kwanza tafkiri ulimwengu ni wake...tuliukuta na tuuacha na ulimwengu utaendelea kuwepo. Kama viumbe vinatoweka sembuse sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…