Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Biblia sio kitabu cha dini ndo maana nakiita KITABU but kupitia mabadiliko ya majira na wakati mbalimbali ikafanywa ya dini ila hata kabla ya ukristo kilikuwepo kipindi cha Mussa ambaye ndie ameandika kitabu cha MWANZO,Isaya na manabii wengi tu wakubwa.
Wewe hujanielewa huwezi ukamzungumzia Musa ukaacha kuizungumzia Dini, ndio maana nakwambia ukiondoa DINI hakuna MUNGU, ondoa DINI alafu nionyeshe MUNGU namaanisha ondoa zile simulizi za biblia na Qur'an weka kando nionyeshe MUNGU nje ya DINI
 
Hapo ndo wengi akili zilipoaminishwa kwamba ni DINI,Lakini hata Ibrahimu mwenyewe hakuwa na DINI wala adamu lakini utakuta kwa wakristo na waislam na dini zengine.
 
Usisome Kitabu (biblia) kama historia ndo maana kuna majira na wakati wa kila jambo katika Kitabu mfano, Katika 1Korintho 15:28 inasema mwana naye yaani Yesu atawekwa Chini ya Muumba wa vyote,wote na yote “Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.”

Na katika Zekaria 14:9 inasema Majira ikifika “Naye Bwana atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo Bwana atakuwa mmoja, na jina lake moja.”

Lakini wengi wanaamini aliyeumba anamajina meeengiiii but hayo majina yote ni nafsi zinazojitegemea katika majira husika ilikuwa sawa.
Kwani wewe kinachokukwaza nini,? kwamba jina? Kwamba katika utatu..na nadhani unachokiuliza unakifahamu maana unauliza swali na kujijibu
 
Hapo ndo wengi akili zilipoaminishwa kwamba ni DINI,Lakini hata Ibrahimu mwenyewe hakuwa na DINI wala adamu lakini utakuta kwa wakristo na waislam na dini zengine.
Ibrahimu umemtoa wapi wewe km sio kwenye kitabu Cha DINI? Ondoa Ibrahim ondoa Musa ondoa Isaka sijui Yakobo Ishemail wote weka kando funga biblia fanya hujawahi kuiona kabisa na hujui simulizi za biblia, sasa hapo nionyeshe MUNGU usinionyeshe kutoka kwenye biblia nionyeshe MUNGU nje ya biblia
 
Kwani wewe kinachokukwaza nini,? kwamba jina? Kwamba katika utatu..na nadhani unachokiuliza unakifahamu maana unauliza swali na kujijibu

Hamna kinachonikwaza, najaribu kuelezea mistari ambayo ipo na imeshafika majira yake lakini kwakuwa wengi wana mapokeo ya DINI, thehebu, theologia, psychologia na philosophia wengi wamebaki hapo kwenye hizo elimu za dunia.
 
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.

Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.

Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.

So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.

Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.

Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.

Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Ndugu kaa na ufikiri kwa makini,hivi ulishawahi fikiri wewe kuwepo duniani nani sababu ya wewe ulivyo?wewe ulishawahi fikiri ulitoka wapi?ulishawahi tafakari huu uumbaji wa Mungu ulivyo?ndugu tafakari,usijivune mwamini na mwabudu Mungu yeye ndiye kila kitu usifanye moyo kuwa mgumu utajua siku moja
 
Ibrahimu umemtoa wapi wewe km sio kwenye kitabu Cha DINI? Ondoa Ibrahim ondoa Musa ondoa Isaka sijui Yakobo Ishemail wote weka kando funga biblia fanya hujawahi kuiona kabisa na hujui simulizi za biblia, sasa hapo nionyeshe MUNGU usinionyeshe kutoka kwenye biblia nionyeshe MUNGU nje ya biblia

Je kwenye uislam hakuna Ibrahim o Isaka, wengi wamebaki kweny kituo cha DINI na thehebu ambavyo kiuhalisia ni utengano kiimani ulioletwa na dunia na ulimwengu lakini Muumba wa vyote hana dini wala thehebu.
 
Katika ulimwengu wa giza yaani falme na mamlaka katika ulimwengu wa Roho walikuwa wanaweza kuona nyota yako miaka hata mia (100) kabla hujazaliwa na kuchukua kila kitu au kukubadilishia kusudi la kuumbwa kwako, Lakini wengi hawajui hilo.

But KITABU (biblia) kilikuwa kinatumika hasa katika ulimwengu wa giza kuweka maagano ya kumfunga mwenye haki.
 
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.

Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.

Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.

So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.

Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.

Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.

Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Mpaka sasa hakuna like hata moja!
 
Hii simulizi na hekaya umeitoa wapi ? Uliwahi kua na huo mwili mpya ukaonja joto ya jiwe au umesimuliwa na waliowahi kufanywa hivyo ? Mda mwingine tuwe na kiasi Cha kuogopeshana jaman, usiwajaze watu uoga swali ni kwamba ukifa unaenda wapi ?
Sijakuogopesha, woga umeutengeneza wewe kwenye ubongo wako kama mtoto tu anavyotazama filamu la kutisha saa ya kulala akaogopa kuzima taa.
 
Je kwenye uislam hakuna Ibrahim o Isaka, wengi wamebaki kweny kituo cha DINI na thehebu ambavyo kiuhalisia ni utengano kiimani ulioletwa na dunia na ulimwengu lakini Muumba wa vyote hana dini wala thehebu.
Wewe naona lugha gongana, Mimi naongea kifaransa wewe unaongea kipotuguizi, basi sawa mkuu Ila kaa uelewe nje ya DINI hakuna MUNGU kuna sayansi na wana sayansi
 
Sijakuogopesha, woga umeutengeneza wewe kwenye ubongo wako kama mtoto tu anavyotazama filamu la kutisha saa ya kulala akaogopa kuzima taa.
Ukifa unaenda wapi ? Kuzimu ?
 
Wewe naona lugha gongana, Mimi naongea kifaransa wewe unaongea kipotuguizi, basi sawa mkuu Ila kaa uelewe nje ya DINI hakuna MUNGU kuna sayansi na wana sayansi

Sio kweli japo unalazimisha iwe kweli, kwani wasio na dini inamaana wao sio wa Muumba?
 
Muumba anaangalia atendae kwa haki ila sio huyu anajua biblia o huyu anajua quran na vitabu vinginevyo.

Kwakuwa dunia na ulimwengu (falme na mamlaka) ilijua ivyo ndo maana ikaandika mateso ya mwenye haki ni mengi zaburi 34:19 na haki ya mwenye haki haita msaidia kwakuwa wakati huo uumbaji ulikuwa chini yao Luka 4:6.
 
Kuna mtu alisema ubongo ni receiver tu, kuna master brain ipo ambayo inatunza kumbukumbu zako na ikifika siku ya mwisho ndo tutajua hatujui pale utakaposhangaa una mwili mpya na ubongo mpya usioungua ukaisha ila maumivu hayazoeleki.

INASIKITISHA MNO.
Ubongo una imperfections nyingi ambazo zinathibitisha kuwa ulikuwa designed na master brain.

Hata huyo aliyetoa hilo wazo ni matokeo ya taarifa za uongo zilizosababishwa na wrong interpretation kwenye ubongo wake.
 
Inategemeana na imani yako. Ww unaamini unakwenda wapi?
First law of thermodynamics, states that the energy of a closed system must remain constant—it can neither increase nor decrease without interference from outside.

This law, first proposed and tested by Émilie du Châtelet, means that energy can neither be created nor destroyed; rather, it can only be transformed or transferred from one form to another.
 
Back
Top Bottom