Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Ukiondoa contradiction utakuwa umeweka uwezekano wa Mungu huyo kuwepo.Zikiondolewa hizo contradictions ndio itakuwa uthibitisho kuwa Mungu yupo? au itafanya kuwa hiyo story ni ya kweli? au itakuwa zimeondolewa contradictions tu kwenye hiyo story?
Unaelewa hilo.
Mungu hayupo.
Mungu ambae ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ambae kaumba ulimwengu huu wenye mabaya kuwezekana hayupo na hawezekani kuwepo.
Nisawa na wewe nikwambie kuwa UHURU JR ni mwanaume bishoo halafu pia ni mwanamke mrembo.
Katika uhalisia UHURU JR wa design hiyo hayupo na hawezekani kuwepo sawa kabisa na Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote katika ulimwengu huu wenye mabaya kuwezekana.