Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

Hizo ni hadithi tu za alinacha. Hakuna kitu kama hicho.
Shida ni kwamba waafrika tunabishi bila research yoyote hebu jaribu kufatilia yaani ulifanyie kazi hili Kisha uje na majibu , Sasa wewe hata kutafiti hutaki na unakataa tu
 
Kujadiliana na mtu anayefikiri kuwa sayari zinazunguka dunia mpaka leo inataka moyo sana.

Yani mtu hajafika hata kwa Copernicus, Galileo, Bruno na Tycho Brahe mpaka leo, anaishi miaka angalau 500 iliyopita.

Nikikutana nanwatu hawa, kabla ya kujibu huwa nafikiria sana, najiuliza, huyu unaanza vipi kumuelimisha?

Hongera kwa ufafanuzi.
 
Jambo

Jambo dogo Hilo mkuu ni makosa madogo tu ya kiuandishi.
 
Kama nilivyokwisha elezea hapo juu, nadhani maelezo hayo yanajitosheleza labda swali lako lijikite kwenye moja ya proof zangu hizo
Juu wapi? Umeeleza nini?

Ukisema umeelezea hapo juu, weka na post namba tuhakiki juu wapi umesema nini.

Posts zimewekewa namba kwa sababu. Tumia namna. Usibumbebumbe tu kuandika "hapo juu".

Vinginevyo usipoweka namba ya post unaweza kudanganya tu na kuandika "kama nilivyokwisha eleza hapo juu" wakati hujaeleza popote.
 
Stop this shit na upreach namna watu wataulithi huo ufalme hubili agizo kuu kama unahitaji kwel watu waelewe unaongelea nn. Imeisha io[emoji56]
 
thread 'mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi' Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi
 
Stop this shit na upreach namna watu wataulithi huo ufalme hubili agizo kuu kama unahitaji kwel watu waelewe unaongelea nn. Imeisha io[emoji56]
tunawahakikishia kwanza Mungu yupo ndio tuwa preach, huwezi kumwambia mtu kuhusu ufalme wa Mungu ilihari hata Mungu mwenyewe hamuamini
 
Mkuu kama hata hufahamu na maana ya Mungu , sidhani Kama hata unahitaji kuthibitishiwa Kuwa Kuna Mungu. Wewe endelea tu kukaza fuvu ukijifanya huelewi.
Kwani mtu akiuliza swali maana yake hananufahamu wa hicho kitu?

Unafahamu Socratic Method ni nini?
 
Wanasayansi mabingwa hukiri waziwazi kuwa Mungu yupo......Sasa nashangaa mtu hata u Dr.wa kubambikwa huna na una kufuru waziwazi.....ipo siku utapata utulivu ukiwa peke yako...utakubali kwamba Mungu yupo.TRUST ME.
 
Kwani mtu akiuliza swali maana yake hananufahamu wa hicho kitu?

Unafahamu Socratic Method ni nini?
wewe utaulizaje swali la jibu unalolifahamu , Mimi Nina uhakika unafahamu Mungu ni nani, na unaelewa kabisa hata proofs zake Ila unauliza tu bila sababu ya msingi , Kama umeisoma thread yangu me naona nimecover Kila kitu ambacho ungehitaji kufahamu Sasa wewe umeisoma title tu ya uzi uka comment au umeisoma hujaelewa.
 
Watoto huwa tunawafundisha upepo upo ingawa hauonekani......mtoto mkubwa tunamfundisha juu ya umeme kwamba upo ingawa hauonekani....Sasa kwa mtu mzima.... ili ujue Mungu yupo....lazima tupime kwanza akili yako.ie. Dimensia na bipolar kisha tukupime tezi dume kwa njia ya haja kubwa. 🤑
 
Unafahamu Socratic Method ni nini?

Hujajibu swali hili.

It is entirely possible you do not posses the tools for this discussion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…