Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

Alafu wapumbavu wanasema hakuna Mungu! Hivi nani anaweza kutengeneza cell na kuipa instructions za utendaji kama huo? Mungu wetu ni wa Ajabu sanaπŸ™
 
umeeleza vizuri sana,lakini hauwezi amini kuna wa2 watakupinga
 
Akienda nimekaa palee niite mbwa... πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…