Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Umenikumbusha ya mtikila

[emoji1], alikuwa anamsiliba RA hapo hapo

Anakwenda kumbom mizinga

Ndomana siku nasema wabongo wanajiita wazawa watafute nguvu ya pesa na wao waweze kushikilia rasilimali za nchi,bila hivyo kila siku tutakuwa tunalialia [emoji1]

Ova
 
Mfanyabiashara nguli kutoka tanzania

Mfanyabiashara gani tena mwingine kutoka tanzania angeenda huko

Ova
Kampuni zake zinachangia Pato la Taifa Kwa kiasi Gani ktk kulipa KODI?

Kampuni za Rost tamu zinaongoza Kwa ulipaji Kodi nchini?
 
Rostam anaeleweka....Kwani wakati ule wa mikataba ile ya upigaji wa Tanesco, na zile kampuni za kufua umeme - huyo jamaa si alikuwepo pia? na mmoja wa mdogo wake akakamatwa? Tunajua yote hayo...
 
Wadubai hatari sana

Wanaijua vizuri sana biashara

Hiyo dubai haina madini, ardhi ya kilimo,mafuta nk lkn angalia walivyotusua....

Ova
 
Tusihamishwe kwenye mjadala nyeti wa Bandari.

Slaa ametoa HOJA, Rost tamu anamuattack Slaa personal.
Dp world apewe bandari afanye kazi
Wenzetu wana ufanisi mkubwa,labda na nyie mtajifunza hapo

Ova
 
Wivu,umaskini utatusumbua sana wabongo
Huyo anataka kuchukua uhai wa mtu

Ova
 
Dp world apewe bandari afanye kazi
Wenzetu wana ufanisi mkubwa,labda na nyie mtajifunza hapo

Ova
Tazama nyumba ya Jirani.

Yupo Jirani mwenye pesa kuliko wewe, akili kukuzidi,

Nenda kwanza kamkabidhi tajiri huyo mkeo na familia Yako kwanza ndipo uje tujadili HOJA zenye Maslahi ya nchi.

Bandari ni URITHI wetu.

HAIUZWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…