Muombe Mungu mabaya yaliyowakuta wengine wewe usikutanayo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni fumbo , usiseme ukamaliza weka akiba ya maneno
 
Mtu anapofurahia matatizo ya wengine ni kama anachukua sumaku anayavutia kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…