Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Tayari huyu ameingia kwenye pay roll au kundi linalotetewa na Bwana Goodluck Haule!
 
Uzuri wa mwanaume,ukipiga pamba,ukanyoa ndevu vizuri,ukaweka na manukato kidogo ya kiume inatosha sana,sio mwanaume ili uwe mzuri unanyoa nyusi,unajichubua,unavaa hereni,unaramba midomo mpaka inakuwa myekundu na mbaya zaidi unalembua macho!hapo lazima watu wawe na mashaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…