Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Mke wake mbona alisemaga issue ya kufumania sms za kimapenzi kutoka kwa katunzi, ila wanazengo mnasahau haraka... alioana na yule dada wa ki zanzibar mpaka mtoto wakazaa , ila bibie alikua hamuelewi bob junior na katunzi mahusiano Yao , mbona kila kitu aliwekaga wazi, waja na nyie mxiee
 
Back
Top Bottom