Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Wafadhili was chama chakavu wanauwa. Sana vijana na madawa
 
huyu jamaa official kandei nn,mbona stori zake zinatrend sana usiku huu???
 




useme sasa cop n paste from godlisten malisa
 
Ndio wasanii wetu, vihela kidogo wanaenda kubwia unga.. Mwisho wa siku ndio haya sasa! Hasara kweli
 
Mpuuzi sana.kila mtu huchagua maisha yake, na hayo ndio aliyoyachagua yeye
 

Yupo wapi mbunge wa geita anayesema madawa ya kulevya siyo sumu ni catalysts
 
Naomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?
 
Iwe fundisho kwa wengine. Alianza na arosta za bangi mpaka kafikia ngada, haya makitu hayanaga ngoja nijaribu Mara moja tu, ukionja ngada we ndo basi tena hasa ile poor mans cocaine a.k.a methaphentamine
 
Ccm inakitengo cha kuwasaidia aende pale kwani hela ya kampeni hawakumlipa
 
Naomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?
Nakumbuka wakati Chid akiwa kwny "peak" alikua na mashaniki na wapambe wengi. Alipata mafanikio mazuri kimuziki. Nakumbuka alikua na kipindi EATV kikizungumzia maisha yake nje ya muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…