Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka wakati Chid akiwa kwny "peak" alikua na mashaniki na wapambe wengi. Alipata mafanikio mazuri kimuziki. Nakumbuka alikua na kipindi EATV kikizungumzia maisha yake nje ya muziki.
Kilikua ni kipindi kizuri ambacho kingempa opportunity ya kufanya biashara na wadau mbalimbali kama angeweza kutumia fursa hiyo vizuri. Kupitia kipindi hicho Chid angeweza kuingia mikataba ya matangazo na makampuni mbalimbali na akaongeza kipato.
Lakini nasikia Chid alishindwa kumaintain kutokana na kutumia sn madawa ya kulevya hali iliyopelekea kunyang'anywa hiyo "air time". Lakini kama Chid angekua na nidhamu ya kazi leo angekua level za kina Diamond.
Ila kwa sasa ni mgonjwa, kadhoofika mno ma anahitaji msaada kwa wasamaria wema.
Lakini maisha yanatupa funzo kubwa kuwa hujafa hujaumbika. Ukiwa na nafasi leo itumie vzr na usimdharau yule asiyekuwa nayo. Historia ya Chid inatupa mengi ya kujifunza.
#September_20_mwaka_2015
Chid alitoa wimbo wimbo wake unaoitwa "matusi kwa Lowassa na Chadema". Wimbo huu una matusi mazito ya nguoni kumhusu mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa na CHADEMA kwa ujumla.
Wimbo huu ulikua uploaded kwenye Youtube tar 25 September 2015 na Wema Sepetu. (Ingia Youtube andika Matusi kwa Lowassa na Chadema utaupata). Sehemu ya Maneno kwenye wimbo huo Chid anasema "ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha wizi ukienda ikulu, ukiwa mgonjwa uraiani huwezi kupona ukienda Ikulu"
Hapa Chid alikua akiendeleza ile propaganda ya CCM kwamba UKAWA wana mgombea mgonjwa. Sasa najaribu kumuangalia Lowassa alivyo sasa hivi na Chid alivyo sasa hivi najiuliza nani mgonjwa kati yao?
Je Chid alimtukana Lowassa kwa utashi wake? Kama sio utashi wake alitumwa na nani? Ka ujira gani? Mbona huyo aliyemtuma akaponde afya ya Lowassa hakumsaidia Chid kuimarisha afya yake kwanza?
#March_22_mwaka_2013,
Chid wakati huo akiwa na nguvu nyingi na afya nzuri alimpiga msanii mwenzake Marehemu "Ngwair" katika ukumbi wa "Ammbassador Luongue" uliopo kwny jengo la Benjamin Mkapa Tower jijini Dar. Sina hakika kama Chid aliweza kumuomba Ngwair msamaha kabla ya kifo chake.
#June_20_mwaka_2012
Chid Benz akiwa bado na afya nzuri alimtukana msanii mwenzie Profesa Jay na kutaka kumpiga ktk ukumbi wa Dar-West Park Tabata, kabla hawajaamuliwa na mashabiki.
Sababu ya kufanya hivyo Chid alidai ni Prof.Jay kusema ktk kipindi cha "Mkasi" kuwa yeye ndio alimuibua Chid na alimuombea ruhusa kwa mama yake ili amruhusu Chid kufanya muziki.
Sina hakika kama Prof.Jay alisema Manento hayo au Labda Chid alikua anatafuta tu sababu ya kufanya fujo maana alishazoea fujo.
Lakini hata kama Jady hakusema, je ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba Prof.Jay ndiye aliyemuibua Chid. Hata jina "Chid Benz" alipewa na Prof.Jay.
Wakati anaanza muziki alikua anajiita "Benzino" jina la msanii wa Marekani. Professor Jay akamshauri atafute identity yake. Baadae akajiita "Chidi" kama kifupisho cha jina lake Rashid Abdala Makwiro.
Professor Jay akamsaidia kuunganisha jina "Chid" ambalo ni kifupi cha "Rashid" na jina "Benz" ambalo ni kifupi cha "Benzino", hivyo akapata "brand name" yake "Chid Benz" ambayo anaitumia hadi leo.
Najaribu kujiuliz hivi Chid angeambiwa anaweza kuwa ktk hali hii aliyonayo leo halafu yule aliyetaka kumpiga akawa Mbunge angeamini? Anyway maisha ni safari yenye mafunzo mengi njiani.
#May_05_mwaka_2013
Chidi alijaribu kumfanyia fujo msanii mwenzie wa BongoFleva "KalaPina" kwa kuvamia steji katika ukumbi wa Maisha Club Msasani. Lakini Kalapina alimdhibiti na Chid akaishia kupigwa yeye. Kala Pina alimwambia "usidhani mimi ni Ngwair"
#January_05_mwaka_2015
Chidi alijaribu kumpiga mwandishi wa habari kwa madai kuwa alimripoti vibaya alipokamatwa na madawa ya kulevya. Inadaiwa alimtwanga mwandishi huyo kabla "Babu Tale" kuingilia kati na kumuokoa.
Ripoti ya matukio ya Chid ni ndefu sana na pengine tunaweza kuelezea orodha ya matukio yake ya utukutu bila kumaliza maana ni ndefu sana.
Lakini kwanini Chid alikua mtukutu kwa kiwango hiki? Je ni sababu ya nguvu alizokua nazo? Je ni kiburi, ubabe, majivuno, fedha au wapambe? Je hakuwahi kufikiri kuwa siku moja anaweza kudhoofu na akashindwa kumpiga hata mtoto mdogo licha ya watu wazima aliokuwa akiwapiga?.
Chid amedhoofika kabisa kiafya kwa kile kinachodaiwa ni athari za madawa ya kulevya. Chid amechoka sana. Madawa yamemmaliza kabisa.
Bado haja goshoo ila naona wadau wana hamu ya kumlia maharage mchizi ndio maana unaona uchuro mwingi humu!huyu jamaa official kandei nn,mbona stori zake zinatrend sana usiku huu???

Huo ndio msaada ulio amua kumpaaliyoimba kuhusu ufisadi wa lowasa wala hayahusiani na sasa alivyo!
Tusimlaumu sana akipata msaada anaweza kusimama na miguu yake tena

Nakumbuka wakati Chid akiwa kwny "peak" alikua na mashaniki na wapambe wengi. Alipata mafanikio mazuri kimuziki. Nakumbuka alikua na kipindi EATV kikizungumzia maisha yake nje ya muziki.Naomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?