Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Vijana wa Kitanzania lazima tujifunze, lakini pamoja na yote hivi hawakumouna Banza Stone alivyokuwa? Nilifikiri pale kwa Banza Stone tuliona kitu fulani cha kujifunza, yaonekana bado tumekuwa wagumu wa kuamini sembe sio nzuri.Clous tv watamsaidia hapa wameweka picha ili vijana wengine wajifunze aisee.. Ngada siyo nzuri kabisa aisee
Yupo wapi mbunge wa geita anayesema madawa ya kulevya siyo sumu ni catalysts
Mkuu @mrgentleman kuwa na busara kidogo,hii issue ni seriously tunazungumzia maisha ya mtu hapa sio makabila kama unataka kuelezea makabila ya watu nenda makumbusho ya taifa ukasaidie kutoa kisomo kule kama wanahitaji,we unadhan ukipata matatizo kabila lako litakusaidia nini,kila kitu ukabila ukabila tu usiwe popoma tumia hiko kichwa vizuri sio kubadilishia mitindo ya nywele.
ngada ni noma kbsaSijui wenzangu mnaona nini. Mimi naona zaidi ya unga
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Afadhali kidogo mr. Nice.
Kama ndo hivyo basi hiyo ni kivumbingada ni noma kbsa