Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Chidi benz ulishinda battle nyingi saana kuanzia battle ya kutoka kuwa underground mpaka superstar wa hip hop bongo ulieweka kwapani tuzo kadhaa.

Ukuishia hapo tu, jukwaani na mtaani uliingia kwenye battle za ngumi kavu kavu bado kote ulishinda.

Nazijua beto kibao ambazo umefight na kushinda...C'moon Chid hii ishu ya madawa ni mchumba tu kwako kama wachumba wengine uliowakalisha kibabe...najua wewe ni dume jeuri. Ukiamua kweli kufight naye huyu madawa utamnyoosha mapema saana. Amua sasa dume.
 
Aisee kumbe unga ni hatari ivo..pole sana Chidi ilikuwa ni akili yako au..
 
Hivi kweli tumekuwa binadamu wa aina gani hata kufurahi wenzetu wanapopata matatizo.
 
Clous tv watamsaidia hapa wameweka picha ili vijana wengine wajifunze aisee.. Ngada siyo nzuri kabisa aisee
Vijana wa Kitanzania lazima tujifunze, lakini pamoja na yote hivi hawakumouna Banza Stone alivyokuwa? Nilifikiri pale kwa Banza Stone tuliona kitu fulani cha kujifunza, yaonekana bado tumekuwa wagumu wa kuamini sembe sio nzuri.
 
Ewe mtanzania unaemnyooshea kidole mwenzako wakat siri ya madhambi yako unaijua mwenyewe....
 
daah mi first time naiona ii pic nlidhan n alpokua mdogo kumbe n his current picture ase, inaskitisha kwa kwel
 
chidi benzi nampa pole sana,ila hali hii anatakiwa kujilaumu mwenyewe maana naona tangia zamani alikuwa anajitamba sana kwamba yeye ni mvutaji na alikuwa anaona sifa kuwa mvutaji,kabadilika sana kawa kama "ALLIENS" walivyo kwenye movies/picha.Abadilike na liwe fundisho kwa wengine
 
1458499507285.jpg
 
Mkuu @mrgentleman kuwa na busara kidogo,hii issue ni seriously tunazungumzia maisha ya mtu hapa sio makabila kama unataka kuelezea makabila ya watu nenda makumbusho ya taifa ukasaidie kutoa kisomo kule kama wanahitaji,we unadhan ukipata matatizo kabila lako litakusaidia nini,kila kitu ukabila ukabila tu usiwe popoma tumia hiko kichwa vizuri sio kubadilishia mitindo ya nywele.

Ina maana Uhoni inayofurahi umu matatizo ya Chidi ni machagadema tupu.
 
Kuna clip moja ilitupiwa youtube 2014 jamaa alikua analalamika jinsi chid alivowafanyia dharau na mwishoni alizungumzia ishu ya madawa na bangi
 
Back
Top Bottom