Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

I cant believe kwa ninachokiona...Unga/poda hatari aseee...Jamaa ameisha mbaya...asiseme stress aseme tu madawa yamemuathiri...mmh yan nkimuona siwezi kuamin alikuwa mwili jumba sasa hivi kawa mwembamba balaa
 
Ameshindwaje kujisaidia, kama anataka tumsaidie ku perform jukwaani si bora tuingie kazini wenyewe, kama ni msaada awe specific, akiri kutumia madawa ya kulevya, afikishwe mahakamani, akiri kosa, ahukumiwe kwa mujibu wa sheria atumikie adhabu yake ndio aombe msaada asaidiwe kurekebisha mwenendo wa maisha.

Mungu muweza aepushe balaa hili kwetu na watoto wetu.
 




Dah pole sana Chid Benzinooooo,dogo alikua anakamua pumzi kibao halafu hilo sauti anayo.
Aliyemfundisha hayo madude alaaniwe kwakweli maana nimepiga nyimbo zake hapa kuna mshkaji imebidi aulize huyo jamaa anaimba mswahili?

nikamwonyesha hiyo picha ya sasa na before jamaa kataka kulia
 
haya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
 
Msaada mtu akiomba basi kama unaweza kumpa msaada eitha wa hali au wa mali au vyote kwa pamoja itapendeza
 
Yesu bora urudi Tu Mara ya pili, dunia inataka kudondoka
 
kajiroga mwenyewe huyu na midawa
 
Mwisho wa siku tumekaa kibarazani tunapiga umbea sijaona hata mmoja kaja na ushauri wa maana kuhusu huyu kijana...na hao walomuibua huko alikokuwa ni ushambenga tu na kumchoresha binaadamu mwenzao mwenye kuhitaji msaada
 
Aiseee... Ndo maana kavaa tishet bwangaa...na hyo miwani nyeusi vipi huko usoni
 
Khaaa asaidiwe nin huyi c bwana mangum...wasanii wakiwa na hela hawashkiki wala kuambiwa jeuri dharau...aende kwa mateja wenzie
 
Huo ni msaada pia wa kumrudia muumba wako, huwa tunajisahau sana na kuanza kujivuna
 
Tatizo uwa hawataki kusema ukweli ukiwaambia wanatumia wanakataa.angalia kama ngwear alikufa kwa madawa lakini kuna wajinga walipinga kwa nguvu zoote.kumbe hawajuii kama wanaipotosha jamii
 
Ndio huyu alisema Lowasa Mgonjwa! Akatoa na nyimbo za kututukana Ukawa!! Leo kabak hv!? My take siasa zisivuruge undugu wetu kuna leo na kesho
 
Binafsi sijajua msaada gani anahitaji?kwani anaumwa?mwache apotelee mbali.
 

Mkuu umesahau
mtu si mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…