SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kudadadeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadadeq
Kwa kweli!!!!Na uendelee hivyohivyo kutupostia kila mfungwa.......
Jela haina Mwenyewe....
punguza jazba.Hapana..tunatumia kauli mbiu ya usiogope..anapita njia ya hh na mandela
Dah! Kumbe pank zetu hizi, viduku na dreads huwa ni style tu ukienda barbershop.Ndio kama mnavyoona
View attachment 1978606
View attachment 1978607
Chanzo : Mwananchi
Nakala kwa Gerald .M Magembe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ghafla kafanana na ngoro kante!!
AiseeeeeeeeeeeeeNdio kama mnavyoona
View attachment 1978606
View attachment 1978607
Chanzo : Mwananchi
Nakala kwa Gerald .M Magembe
Mfungwa hatari sana huyu.Ndio kama mnavyoona
View attachment 1978606
View attachment 1978607
Chanzo : Mwananchi
Nakala kwa Gerald .M Magembe
Kama zombi vile
Dunia ni mapito bwashee!
Mara paap, huyooo uraiani, waliomsigini kunguni wataficha nyuso zao
Sio kila mfungwa alitenda kosa mkuu,kuna watu wapo magerezani Dunia hii bila kutenda makosa waliyotuhumiwa nayo,ni kumuomba Mungu tu atunusuru.Kabisa dunia hii tusitambe sana twende nayo kwa utaratibu
👍Kwa kweli!!!!
Ila Tz bn[emoji23]Mchumba wake walikuwa wakicheka kwenye bench hapo mahakamani