Muonekano mpya wa Mfungwa Ole Sabaya huu hapa

Muonekano mpya wa Mfungwa Ole Sabaya huu hapa

Dogo alikata watu masikio,alikata viganja,yule bibi alimwita Mungu wake amwone na amfungulie kisa huyu dogo.

Mungu huwa yupo.

Paul Makonda, Paul Makonda, Paul Makonda nimekuita mara 3!
Makonda sasa ni muda wa yeye "kusimama ahesabiwe"
 
Hivi huyu mshkaji ana mtoto? Maana kwa kweli nyundo 30 lupango siyo ishu ndogo. Maana yake ni kwamba kutoka atakuwa na zake kama 54 hivi?
Kazaliwa 80 kamili huyo, hiyo inayotajwa ni ya kwenye vitambulisho
 
Kazaliwa 80 kamili huyo, hiyo inayotajwa ni ya kwenye vitambulisho

Ana watoto? Maana naona kama anazikwa mazima ila pia ni faida kuua mbegu mbaya isiendelee kuzaliana.
 
Back
Top Bottom