babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Usiombe yakukute,jamaa inaonekana kalia sana.
Pole saana ndugu yangu,tuliowai kukumbwa na masaibu tunakuombea heri
Pole saana ndugu yangu,tuliowai kukumbwa na masaibu tunakuombea heri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiombe yakukute,jamaa inaonekana kalia sana.
Pole saana ndugu yangu,tuliowai kukumbwa na masaibu tunakuombea heri
Chanzo : MwananchiNa uendelee hivyohivyo kutupostia kila mfungwa.......
Jela haina Mwenyewe....
Kwahiyo kasingiziwaSio kila mfungwa alitenda kosa mkuu,kuna watu wapo magerezani Dunia hii bila kutenda makosa waliyotuhumiwa nayo,ni kumuomba Mungu tu atunusuru.
Kuna jana na kesho pia.....Chanzo : Mwananchi
Kule hawakucheleweshi. Tena ile juzi lazima alipokelewa na maji mengi sana kuogeshwa hahaha.
Hapana..tunatumia kauli mbiu ya usiogope..anapita njia ya hh na mandela
Maisha yanabadilika sana
Kuna sehemu nimetaja mtu hapo? Jaribu kua unaisoma comment na kuielewa kwanza.Kwahiyo kasingiziwa
Ilitakiwa apigwe para baada ya muda gani?Duuh!Mara hii ashapigwa para[emoji2955][emoji849][emoji849]
[emoji38][emoji38][emoji38]Duuh!Mara hii ashapigwa para[emoji2955][emoji849][emoji849]
Mara paap, huyooo uraiani, waliomsigini kunguni wataficha nyuso zao
Hapana ndugu yangu, mwenye kutenda haki na upendo wa kweli kwa wenzie na kwa Mungu kamwe hastahili kuishi kwa kubahatisha hivyo. Mkatae shetani na mambo yake yote, nawe utaacha kuishi HOFU. AMENHakuna ajuaye kitakachomtokea, tusimlaumu
Na uendelee hivyohivyo kutupostia kila mfungwa.......
Jela haina Mwenyewe....