Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Hiyo picha ya pili hilo jicho kama katoka penye shughuli pevu kachoka hata mkiaHuu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
Lakini atakuwa kesha haribika....akikua ataacha.
Mbona hapa amependeza tu.Huo muonekano wake mpya hajapendeza kwakweli kawa kama dadaMkuu ni msanii wa bongo fleva,huu ndio muonekano wa zamani
Kwani umesahau mikogo ya wanaume wa dar?Hayo ndo mapozi gani tena?
Hadi kurembua na macho?
Lawwwd hammercy!
ukikaa na mwizi na we lazima uwe mwizi bado huy mavoko tutayaona mengi zaid ya hayaKani kera
Wasafi hawanywagi pombe weweee! Labda kama alilewa kitu kingine!!Hizi picha alijipiga akiwa amelewa wala mwenyewe hakutegemea kama zingefika JF, kuna aliyemsaliti.
je unaamini huu ni mwonekano mpya wa RAYMondRaymond Mdogo wangu toka Mbeya umekuja kuwaje! Namjua huyu dogo toka kitambo kabla hajafahamika na kweli dogo ni muimbaji mzuri ila hiki nini sasa
Wasanii wa bongo ifike muda wajue usanii sio lazima ubadilishe muonekano ili kuonekana wewe ni msanii, fanya Kazi usanii wako utaonekana tu. Watu kama kina Ben Pol wanawika na nadhifu pasipo Kuweka hayo maheleni
Halafu naona sasa hoop earrings ndiyo mtindo mpya kwa wasanii wetu ili waonekane wamekubuhu kumbe ndiyo wanaonekana machoko zaidi. Smh