Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Nyimbo mbili tu ameshaanza kusuka nywele akifikisha nyimbo 10 atasuka hadi nywele za kwapa usanii sio kujibadili mwonekano watu tunataka kazi bora na sio kujibadili kua kama mapoa
 
Ukitaka kupasuka kichwa fuatilia maisha ya wasaniii....hawa kazi yao ni kukupa kitu cha kuongea yaani usipomsema hana amani kwaio brothers and sister save your povuz for some other things
 
Mdomo na macho kwa picha ya kwanza plus picha ya nne alivokaa kauachia utadhani ni kijana poa mh!!
 
Raymond Mdogo wangu toka Mbeya umekuja kuwaje! Namjua huyu dogo toka kitambo kabla hajafahamika na kweli dogo ni muimbaji mzuri ila hiki nini sasa

Wasanii wa bongo ifike muda wajue usanii sio lazima ubadilishe muonekano ili kuonekana wewe ni msanii, fanya Kazi usanii wako utaonekana tu. Watu kama kina Ben Pol wanawika na nadhifu pasipo Kuweka hayo maheleni

Halafu naona sasa hoop earrings ndiyo mtindo mpya kwa wasanii wetu ili waonekane wamekubuhu kumbe ndiyo wanaonekana machoko zaidi. Smh
je unaamini huu ni mwonekano mpya wa RAYMond
 
Binafsi naamini hii thread ipo katika kumpa kiki kimtizamo hasi,ama kumkashfu dogo.
 
Back
Top Bottom