Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mkuu taratibu basi. Hadi, huyu?Kilainishi kina husika hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu taratibu basi. Hadi, huyu?Kilainishi kina husika hapo
Tena sio ndogo kaka!Kazi ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo nalo nenoWanaume wa Dar... Wanakesha Saloon na kwenye Vioo
Kwel kabsa mbna ben paul yuko smart tu na anafanya poaRaymond Mdogo wangu toka Mbeya umekuja kuwaje! Namjua huyu dogo toka kitambo kabla hajafahamika na kweli dogo ni muimbaji mzuri ila hiki nini sasa
Wasanii wa bongo ifike muda wajue usanii sio lazima ubadilishe muonekano ili kuonekana wewe ni msanii, fanya Kazi usanii wako utaonekana tu. Watu kama kina Ben Pol wanawika na nadhifu pasipo Kuweka hayo maheleni
Halafu naona sasa hoop earrings ndiyo mtindo mpya kwa wasanii wetu ili waonekane wamekubuhu kumbe ndiyo wanaonekana machoko zaidi. Smh
Na uko insta mbna alipost au nako kasalitiwaMlkuwa wote wkt anpga hizo pcha?
Mwenye Lebo anapakuwa samvu la KOPO....Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
Huu unaitwa usela maviHuu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
usitapikie humu subiri tutoke naona yamekufika hapaChefuuuu
Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673