babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
kawa kama balloteli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakiume huyo mkuu!Ni wa kiume huyuView attachment 375708
ChefuuuuYaani akiwa anatunga wimbo ndo anakuwa hivi!
Haya mambo haya tunazidi kupoteza marijaliChefuuuu
Hiyo ndo sheria ya wasafi,lazima uwe na swaga........ Wcb baby..!Hayo ndo mapozi gani tena?
Hadi kurembua na macho?
Lawwwd hammercy!
Mkuu ni msanii wa bongo fleva,huu ndio muonekano wa zamaniHuyu Dada Reynifrida Anajishughulisha Na Nini Mpaka Mwonekano Wake Mpya Unajadiliwa?
Naomba Picha Ya Mwonekano Wa Zamani Ili Nimwelewe Vema
Angalia body language au we sio mzazi??? Huku kulegeeeea na kurembua macho na kujinyonya lips hata angekua mwanao anafanya hayo lazma alarm ilie.sio kawaida kwa mtoto wa kiume
Kazi ipoNi wakiume huyo mkuu!
mbona dom ndo inafuatia kwa vilainishi baada ya darHuyu jamaa anawakilisha wanaume wa Dar....
Hadi JPM kaamua kuondoka Dar na kuhamishia serikali Dodoma. Ili awaachie jiji lenu lililoaaniwa.