Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Nimekuelewa vizuri sana mkuu, wasanii wengi wanakua na msingi mbovu, na kosa kubwa wanalofanya ni kufikiri Msanii lazima uwe na life style ya ajabuajabu, kama umenielewa vizuri sitetei huu upuuzi ila namsikitikia. Nimetumia hiyo lugha kufikisha ujumbe tu, hauoni mtu akishakua na longolongo nyingi anaitwa msaniiii?
Hapo tunaenda sawa mkuu
 
Hilo jicho kalirembua kaa dem na hzo hereni tena duuu Mkuu Makonda angalia hawaaaaaa
 
Tatizo sio kusuka..tatizo ni hilo pozi aloweka na hayo macho alivyolegeza
Kuna wanaume wanatamani wanaume wenzao...wakimuona hawatomuacha salaama
 
Hebu tumuone na hapa maana yeye ndio alikuwa stelingi wa shughuli.
 
Back
Top Bottom